Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Halo JF.
Mitaani kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kuvaa miwani tofauti na hapo zamani. Je macho ya Watanzania yanaharibiwa na mfumo wa maisha ya nyakati hizi Kama vyakula, dawa za hospital, mafuta ya kupaka usoni, kushinda muda mrefu mitandaoni, nk.
Je tatizo nini haswa maana hadi vijana wadogo unawaona mitaani wamevaa miwani?