Ongezeko kubwa la watu wanaovaa miwani, tatizo nini haswa?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Halo JF.
Mitaani kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kuvaa miwani tofauti na hapo zamani. Je macho ya Watanzania yanaharibiwa na mfumo wa maisha ya nyakati hizi Kama vyakula, dawa za hospital, mafuta ya kupaka usoni, kushinda muda mrefu mitandaoni, nk.

Je tatizo nini haswa maana hadi vijana wadogo unawaona mitaani wamevaa miwani?
 
Ungejauje
Ana gari
Anajua endesha
Aliendesha 40kms
Ungejuaje
Wakati wewe unaona kua na gari au kudrive ni jambo kubwa mpaka mtu kutangaza,kuna wenzako wanaona ni jambo la kawaida tu,zamani kua na gari ndio ilionekana kama ni utajiri,ila Dunia ilishabadilika Mkuu.
 
1. MIWANI YA MACHO:
↪Hizi zipo za aina nyingi kutegemeana na maelekezo ya daktari wako.

2. MIWANI YA JUA:
↪Hizi mara nyingi zinnakuwa na kioo cheusi na mara kadhaa wavaaji wake pale jua linapotiwa kivuri uiweka juu kwenye paji la uso au jirani na nywere za mbele.

3. MIWANI YA KUSOMEA
↪Haivaliwi muda wote ila pale mwenye nayo anapokuwa mbele ya andiko au kitu kilicgoandikwa na anataka kusoma ndipo anaitoa na kuivaa.

4. MIWANI YA UREMBO:
↪Hizi nazo zimejazana madukani kwa sasa ndizo (nahisi) mtoa mada unakutana nazo au ndizo zimekupelekea kuandika mada hii.

5. MIWANI YA KUENDESHEA GARI.
↪

MIWANI YA KUANGALIA SINEMA.
↪
 
Kumbe!! Nimekuelewa kwa kiwango kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…