Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,319
True, pia watu wengi siku hizi wanavaa miwani kujikinga na jua au urembo.Watu wanatumia muda mwingi sana kuangalia screen za computer na simu au Tv,hii huenda ikawa ni moja ya root cause.
Pole sanaMwaka wa 21 huu navaa miwani, naacha kidogo narudi tena. Achana na macho kabisa, yakianza hata kazi hazifanyiki.
Hivi na mafuta ya kupakaa eeeh?. Hata haya ya kiume kiume ya kawaida haya?Halo JF.
Mitaani kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kuvaa miwani tofauti na hapo zamani. Je macho ya Watanzania yanaharibiwa na mfumo wa maisha ya nyakati hizi Kama vyakula, dawa za hospital, mafuta ya kupaka usoni, kushinda muda mrefu mitandaoni, nk.
Je tatizo nini haswa maana hadi vijana wadogo unawaona mitaani wamevaa miwani?
Naona hata mimi yanaanza kwa mbali I see. Vile nilivyokuwa naona zamani ni tofauti na sasa. Nafikiri vyakula. Kama michele ya sasa ni mbolea tu. Wazungu wanatumaliza,bahati mbaya huwezi kuwakwepaMwaka wa 21 huu navaa miwani, naacha kidogo narudi tena. Achana na macho kabisa, yakianza hata kazi hazifanyiki.