Sio Tz tu wanadam ni changamoto, mimi binafsi sioni tatizo hao 300 wakichukuliwa katika hao waliofanya oral, ni watanzania pia,Ila Watz sisi ni much know kinoma aseee,Kwahiyo na hao ambao wako kwenye kanzi data utasema kuwa wameonewa wale waliokosa oral au? Sasa km kibali kimetoka wakiwa hatuna ya oral,Unadhan wangetakiwa kurudia Tena usaili upya mkuu kwa kutangaza ajira Tena....Sa nyingine tujifunze kukubali kuwa alikuwa ridhki until next time.Ongereni mlioitwa kazini na wengine msikate tamaa wakitangaza tena jaribuni tena na tena.
Watanzania wengi wana roho ya kwa nini na ndio kama ya mtoa madaSio Tz tu wanadam ni changamoto, mimi binafsi sioni tatizo hao 300 wakichukuliwa katika hao waliofanya oral, ni watanzania pia,
Kama una watu tayari ya nini uingeze gharama ya interviewer na mamlaka kutafuta tena watu, ni matumizi mabaya ya hela, mtu unatoka mwanza kuja dar kufanya interview gharama si chini ya 300k, badala ya kunipa hiyo gharama, chukua hao wenzangu waliopita, ingekuwa safi zaidi wakachukua wote waliofika oral, watatupa moyo zaidiKwanza jamaa anachozungumza siyo roho mbaya kama wengi mnavyotaka ionekana .
Miongozo inasema wataitwa kama ni nafasi 1 inagombaniwa kwenda oral itabidi wa 3 au 4 ,kama written ulisema nafasi ni 2 ukaita 8 wakati ulikuwa na uwezo wa kuita zaidi .
Kingine nchi yetu ambayo uwazi na uwajibika ni mdogo sana unawezaje kupima fairness kama zoezi siyo la siri ,na linabadilishwa juu kwa juu ,hiyo loophole ya watu 300 kama imetumika kuweka watu ambao hawakuwepo .
Hakuna Much know au Low Know. Utaratibu unajulikana kila nafasi moja ratio 3 au 4. Ongezeko la nafasi 300 ambalo kimsingi ni nyingi sana lingeenda kuathiri ratio ya walioitwa oral. Kama taratibu zimewekwa lazima zifuatwe. Watu wamekosa haki yao ya msingi ya kusikilizwa. Kama hizo nafasi zimechelewa kuja wangefanya utaratibu wa kuanza mchakato mpya au waandae oral interview nyingine ili kukidhi ratio.Ila Watz sisi ni much know kinoma aseee,Kwahiyo na hao ambao wako kwenye kanzi data utasema kuwa wameonewa wale waliokosa oral au? Sasa km kibali kimetoka wakiwa hatuna ya oral,Unadhan wangetakiwa kurudia Tena usaili upya mkuu kwa kutangaza ajira Tena....Sa nyingine tujifunze kukubali kuwa alikuwa ridhki until next time.Ongereni mlioitwa kazini na wengine msikate tamaa wakitangaza tena jaribuni tena na tena.
Mdogo wangu unaongelea gharama za 300k kwa kazi ambayo inaenda kubadilisha maisha yako na familia yako. Sio suala la gharama. Watu wamepata marks kubwa sana wakaachwa kwa sababu ya ratio kwa nini wasiitwe kusikilizwa. Wewe unaona ni sawa? Hizo kazi ni za watanzania woteKama una watu tayari ya nini uingeze gharama ya interviewer na mamlaka kutafuta tena watu, ni matumizi mabaya ya hela, mtu unatoka mwanza kuja dar kufanya interview gharama si chini ya 300k, badala ya kunipa hiyo gharama, chukua hao wenzangu waliopita, ingekuwa safi zaidi wakachukua wote waliofika oral, watatupa moyo zaidi
Muongozo unasema hivi? samahaniKwanza jamaa anachozungumza siyo roho mbaya kama wengi mnavyotaka ionekana .
Miongozo inasema wataitwa kama ni nafasi 1 inagombaniwa kwenda oral itabidi wa 3 au 4 ,kama written ulisema nafasi ni 2 ukaita 8 wakati ulikuwa na uwezo wa kuita zaidi .
Kingine nchi yetu ambayo uwazi na uwajibika ni mdogo sana unawezaje kupima fairness kama zoezi siyo la siri ,na linabadilishwa juu kwa juu ,hiyo loophole ya watu 300 kama imetumika kuweka watu ambao hawakuwepo .
Jamaa ana hoja,ni vile watanzania tuna ubinafsi ndo maana tunamuona jamaa kama sio,kuna watu walipata 95% wakaachwa kwa kigezo cha ratio ya 1 by 3, so kwa nini wasingeitwa na wao kufanyishwa oral maana kama ni uwezo wanaoKwa judgement hii ndio maana hata kwenye Oral interview hujaitwa.
Labda tuanze kwa kupata marejeo ya hiyo post ya jamaa ilihitaji watu wangapi na waliopita oral walichaguliwa watu wangapi tuone uwiano wa ratio ya 1 by 3 ninachojua kuna post unaweza kukuta ilihitaji mfano nafasi ya mtu 1 lakini oral unakuta wamechaguliwa watu 9 au 8. kama nafasi zaidi 300 zimepatikana wakichukuliwa wale walio kwenye database ni sawa tu .Jamaa ana hoja,ni vile watanzania tuna ubinafsi ndo maana tunamuona jamaa kama sio,kuna watu walipata 95% wakaachwa kwa kigezo cha ratio ya 1 by 3, so kwa nini wasingeitwa na wao kufanyishwa oral maana kama ni uwezo wanao
Hakuna mtu mwenye roho mbaya mdogo wangu. Mwenye roho mbaya ni wewe ambaye unaona wenzako hawana haki ya kusikilizwa ikiwa waliachwa kwa sababu ya ratio. Acha ubinafsi walioachwa kwenda oral sio wote walifeli. Kama tumeweka utaratibu lazima ufuatwe. Hizo nafasi 300 kulingana na mchanganuo wa kila ajira walitakiwa watu 900 waitwe oral wakazipambanie ikiwezekana na wao wawekwe kwenye data base.Labda tuanze kwa kupata marejeo ya hiyo post ya jamaa ilihitaji watu wangapi na waliopita oral walichaguliwa watu wangapi tuone uwiano wa ratio ya 1 by 3 ninachojua kuna post unaweza kukuta ilihitaji mfano nafasi ya mtu 1 lakini oral unakuta wamechaguliwa watu 9 au 8. kama nafasi zaidi 300 zimepatikana wakichukuliwa wale walio kwenye database ni sawa tu .
Ufafanuzi wa jumla wa TRA wasailiwa wa written interview idadi : 113023
Oroal interview idadi: 6325
Nafasi zilizokuwa zikishindaniwa idadi za mwanzo : 1596
Idadi mpya baada ya ongezeko la watu 300 : 1896
Ratio ya 1:3 ipo sawa kabisa na imezidi tuache roho mbaya chief .