Mimi sina roho mbaya chief naongelea uhalisia wa mchanganuo wa hesabu au hisabati 1:3 twende taratibu au haujasoma vizuri maelezo ya hilo Tangazo la TRA hapo juu wamesema walioitwa oral idadi jumla ni 6325 hawa ndiyo walioitwa kufanya oral, idadi ya watakao ajiriwa jumla pamoja na ongezeko la hao 300 ni 1896 . Hivi ukirudi kwenye hoja yako ya ratio 1:3 , 1896* 3 = 5688 . Ikimaanisha kwa ratio ya 1:3 walipaswa kuita watu 5688 tu ila wao waliita zaidi ya idadi hiyo ambao ni 6325.Hakuna mtu mwenye roho mbaya mdogo wangu. Mwenye roho mbaya ni wewe ambaye unaona wenzako hawana haki ya kusikilizwa ikiwa waliachwa kwa sababu ya ratio. Acha ubinafsi walioachwa kwenda oral sio wote walifeli. Kama tumeweka utaratibu lazima ufuatwe. Hizo nafasi 300 kulingana na mchanganuo wa kila ajira walitakiwa watu 900 waitwe oral wakazipambanie ikiwezekana na wao wawekwe kwenye data base.
NB: Mimi nipo hapa kuongelea namna taratibu na haki za wasailiwa wengine zinavyominywa. Sina maslahi yoyote na hizo ajira. Nipo nafanya shughuli zangu binafsi na sijawahi kufikiria kuomba ajira. Ila kama kuna kitu hakipo sawa lazima tuseme.
Bila aibu unahamasisha wizi wa fedha za umma. Shame on you.Ushauli wangu kwenu mliopata ajira nendeni mkaibe sana PESA za Uma.kwakua mtawala w juu zaidi na watu wake ni wezi na wanakumbatia wezi. Ivyo autashitakiwa zaidi utahamishwa TU.
Awamu hii y CHURA IBA cheza dili mpk 2030 ww ni mtamu bila longo longo
KAZI ni kipimo cha utu
Hawana hata wiki mbili,,haiwezekani wakaitwa hivi karibuniWadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
Tayari wameanza boss. Kuna watu wameingia this weekWadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
Bado wataitwa kuanzia next week leo ndio deadline.Wadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
Lots of companies hire people who don’t have the qualifications for the job.Tayari wameanza boss. Kuna watu wameingia this week
Mambo sorry naweza ongea na wewe private ni kuhusu hyo hyo databaseBado wataitwa kuanzia next week leo ndio deadline.
Karibu mkuuMambo sorry naweza ongea na wewe private ni kuhusu hyo hyo database