Ongezeko la ajira 300 za TRA wasailiwa hawajatendewa haki

Mimi sina roho mbaya chief naongelea uhalisia wa mchanganuo wa hesabu au hisabati 1:3 twende taratibu au haujasoma vizuri maelezo ya hilo Tangazo la TRA hapo juu wamesema walioitwa oral idadi jumla ni 6325 hawa ndiyo walioitwa kufanya oral, idadi ya watakao ajiriwa jumla pamoja na ongezeko la hao 300 ni 1896 . Hivi ukirudi kwenye hoja yako ya ratio 1:3 , 1896* 3 = 5688 . Ikimaanisha kwa ratio ya 1:3 walipaswa kuita watu 5688 tu ila wao waliita zaidi ya idadi hiyo ambao ni 6325.
 
Ushauli wangu kwenu mliopata ajira nendeni mkaibe sana PESA za Uma.kwakua mtawala w juu zaidi na watu wake ni wezi na wanakumbatia wezi. Ivyo autashitakiwa zaidi utahamishwa TU.
Awamu hii y CHURA IBA cheza dili mpk 2030 ww ni mtamu bila longo longo
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
 
Bila aibu unahamasisha wizi wa fedha za umma. Shame on you.
 
Tayari wameanza boss. Kuna watu wameingia this week
Lots of companies hire people who don’t have the qualifications for the job.

There’s often a training period for new hires, even for people who know the field.

It’s about getting you ready for THEIR world.

Never doubt. It’s a numbers game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…