Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Ni wivu tu mkuu,kingine huyu mtoa mada huenda ni mchina, majuzi hapa xi jinping kasema uchumi wao tia maji tia maji.Naona wajinga wakilialia juu ya bajeti babalao ya USA.
Ikumbukwe vita zote anazopigana USA huwa ziko kibiashara zaidi.
Wenye akili kubwa wanasuka mipango kwa maslahi mapana ya Taifa.
Jiulize watu wamepumzika miaka 16 tu kati ya zaidi ya miaka 250 kupigana lakini bado akazizidi nchi zote kiuchumi, hapo elewa kwao vita ina faida.
Nimeona makapuku wakiona wivu juu ya matumuzi ya hela za tajiri utadhani ni zao jinsi walivyo na kinyongo mioyoni mwao.
cc Samson Ngomboli
Nsanzagee