Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

Ndio shida hilipo; mnafikiria upuuzi kwenye vichwa vyenu contrary to economic facts.

Hakuna mtu anaewajuhumu personally, shida ni poor macroeconomic policy za serikali.
Mbona hakufanya hayo kabla ya kuwa Rais? Huyo ni mwizi na mnyonyaji. Bora Mungu angemwacha JPM akamchukua huyu mkwere

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
EWURA hawapo hapo kwa sababu ya maslahi ya wafanyabiashara; wapo kwa sababu ya kumlinda mlaji.
Una uhakika mkuu? Kwa hii serikali yenye matobo kila upande una uhakika ewura inakulinda wewe mlaji wa mwisho?
Kwa sasa sina muda wa kwenda kupoteza kutafuta link ya kukuwekea jinsi EWURA wanavyokokotoa na kupanga bei ya mafuta.

Hila hawajiamikii tu asubuhi moja na kusema wajameni tuongeze bei ya mafuta au tushushe. Wanafanya hayo maamuzi based on formatted formula which it’s inputs depends on evidence of factual market variables kuhakikisha kuna fair price. Muuzaji apati faida za anasa based on evidence na wanajaribu kumlinda mlaji. Huo ndio uhalisia.

Hakuna Janja yoyote ya kumnufaisha au kumuumiza mtu kwenye kupanga bei; isipokuwa ni facts tu.
 
2025 ni mwendo wa kuondoa hizo takataka za CCM huko bungeni ndo tutasema tuna bunge. Nchi inateswa na takataka moja IPO hapo msoga! Kwanza inatakiwa ifungwe kifungo Cha maisha. Ilimuua JPM ili inyanyase wananchi vizuri ndo inafanya hivyo sasahivi huoni hata umeme unavyokatikatika ili auze Yale majenereta yake? Na mafuta. Bei ya bidhaa imepaa!

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mbona hakufanya hayo kabla ya kuwa Rais? Huyo ni mwizi na mnyonyaji. Bora Mungu angemwacha JPM akamchukua huyu mkwere

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Hata mimi huyo mzee Kikwete ananichosha sana na naamini ndio sehemu ya tatizo la nchii hii.

Hila kila mtu alaumiwe kwa matatizo stahiki; hana influence yeyote kwenye mafuta hata kama ana miliki vituo vya mafuta.

Mnyonge mnyongeni; hila haki yake mpeni.
 
Kule Kenya ruto aliwaambia wachague Kati ya mambo matatu: kuhama Kenya, kufungwa jela maisha ama kutangulia kwa Mungu.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tz hatuna Bunge. ni kikundi tu cha watafuna nchi. "bunge la mchongo na spika wa mchongo"


Yesu anaokoa ukimwamini
 
...My french...
 
Makosa ya kiuandishi
Nikiandika huku chozi linanilenga
 
WaTZ fuatilieni huko ulimwenguni ndio mtajua na kuelewa kinachotokea ,bei ya mafuta imepanda dunia nzima na itazidi kwenda juu, ni baada ya Warusi na Waarabu kupunguza uvutaji na huu ni mkakati wa kuwaangusha wamagharibi na kuwakomesha kutaka kuitawala dunia.
Nchi nyingi za Afrca zimeanza kuamka juu ya wamagharibi maana hawa wamagharibi wanakwenda na wewe ,wakishakufilisi wanakutupa na kukuchafua, tumeona Afghanistani,Syria ,Iraq,Libya na sehemu nyingi tu ,hata kuvurugika kwa Ukraini sababu ni wao wamagharibi na wameshaanza kimahesabu kuwatupa mkono.

Serikali isifanye subira kujiunga na BRICS ,ndio huko kimbilio la wanyonge na waarabu wameshakimbilia huko.
Siku hizi hakuna tena kumuonea haya wamagharibi ,neno kwa neno washike adabu zao na sasa ni kuheshimiana tu.
 
Mkuu
Hili la mafuta ni eneo nyeti sana.

Hapa kati bei hazikupanda lakini shemeji akapandisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…