Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

MBUnGE la spika tulia ewura ya mumewe spika

Kwahiyo nguruwe wa bwana heri na shamba la bwana heri
 
Yote ya Heri🤣
Haya msanii baada ya kubwabwaja hapa na kumwaga mipovu kibao, umepata faida gani? Bei ya mafuta imepungua?
Mwezi ujao bei ya petroli itakuwa elfu 5 kwa lita. Wenye kijinyonga wajinyonge; wakunywa sumu na wanywe
 
Watanzania uwezo ni mdogo mdogo sana wa kufanya tafiti hata ndogo ndogo na kujua nini kinaendeles kwa biggest oil producers na other key players ktk oil wanalaumu na kutukana wasio na makosa.

Hii scenario ya world recession iliandikwa sana mwaka jana kwenye international na some local media.

Production ya oil inashuka forces za low supply na high demand zinafanya kazi.

US Federal Reserse bado riba iko juu USD scarcity globally sasa what do you expect to happen in TZ.

Nchi kama India imenunua oil Dubai kwa Rupee currency yao wana nafuu.

TZ Mwigulu kaomba mkopo wa USD500 M November hsli ni nguvu hata hizo exports hauwezi kufanya ghafla inabidi kujipanga.
 
U
mkuu
Ni busara kukaa kimya kuliko kujimwambafai kuwa unajua taratibu na sheria.

Kwa hivyo EWURA ni mwiko kuundiwa tume ya kibunge na maamuzi kuchukuliwa?
Mbunge wako akipeleka hoja bungeni na bunge likairidhia itaundwa tume ya bunge kuwachunguza ewura. Huhitaji kuwa na midigirii mingi kama uliyo nayo wewe kujua hili.

Nyie pigeni kelele lakini sisi tunawanyamazia tu, ikifika usiku mtalala
 
Mkuu issue ya mafuta ni ya dunia nzima. Muwe mnaangalia basi hata TV Station kubwa kama CNN mjue hali ya mafuta duniani inaendaje maana mpk mataifa giants yamepata msukosuko baada ya uzalishaji kushuka.

Mshana Jr kwenye hili nimekushangaa. Nakuonaga kama una uelewa lakini
 
U

Mbunge wako akipeleka hoja bungeni na bunge likairidhia itaundwa tume ya bunge kuwachunguza ewura. Huhitaji kuwa na midigirii mingi kama uliyo nayo wewe kujua hili.

Nyie pigeni kelele lakini sisi tunawanyamazia tu, ikifika usiku mtalala
Haya
 
Kwenye ya hovyo tunaunganishwa na dunia nzima.Kwa nini kwenye mema hatujumuishwi?
 
BUNGE LIPI? BUNGE HILI HILI AMBALO KAZI YAKE KUBWA NI KUIPONGEZA SERIKALI BADALA YA KUISIMAMIA ?
 
Umetumia akili nyingi sana kuwasilisha hoja yako mkuu [emoji28]
 
Kama hawa watawala wangekua na Utu na huruma angalau hata kidogo tuu jana wale waliofunga Sheri kwamba hakuna mafuta ilibidi wakamatwe wahojiwe wame yatoa wapi na wakati hawakua nayo hadi juzi usiku, lakini kwakua ni michongo yao Wala hata hawastuki
 
Reactions: Cyb
Huyo mme wa spika hawezi kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…