Ongezeko La Bei Ya Vyumba Vya Kupangisha.

Joined
May 8, 2014
Posts
73
Reaction score
10
Kumekuwepo na ongezeko la bei ya vyumba vya kupangisha kila mara, wamiliki wa majumba wamekuwa wakipandisha kodi kila mwaka jinsi wanavyopenda wao maana hakuna sheria yeyote inayowabana. Mfano; Jiji la Arusha kodi ya chumba cha chini ni Tsh20,000-30,000 kwa mwezi (single room) huku duble vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi.
Na vyumba vyenye hadhi nzuri vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi (single room) huku duble ni 60,000-150,000 kwa mwezi. Na hizi kodi ni nje na bili ya umeme. Pia bei hizi hutofautiana kutoka eneo moja kwenda eneo jingine. Hali hii huwafanya wapangaji kushindwa kujimudu kimaisha kutokana na kuwa kodi zipo juu na kipato/mishahara wanayopata kwa mwezi ni kidogo sana. Kwa mtazamo wangu naona ni vizuri pawepo na sheria itakayowabana mamiliki wa vyumba.
 
Pole ndugu but kikubwa uone hasira nawe upate yako ili hayo manyanyaso yasikupate!!
Dar pia nako ni the same rent but inategemea na mahali husika.....
 
Mbona vitu vingine pia vinapanda bei....ni kwa nini unataka kodi ya pango ndio ibakie pale pale?
 
Ni muhimu tuzungumzie hilo maana asilimia kubwa ya watu wa mijini ni wapangaji. SMU
 
Kumekuwepo na ongezeko la bei ya vyumba vya kupangisha kila mara, wamiliki wa majumba wamekuwa wakipandisha kodi kila mwaka jinsi wanavyopenda wao maana hakuna sheria yeyote inayowabana. Mfano; Jiji la Arusha kodi ya chumba cha chini ni Tsh20,000-30,000 kwa mwezi (single room) huku duble vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi.
Na vyumba vyenye hadhi nzuri vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi (single room) huku duble ni 60,000-150,000 kwa mwezi. Na hizi kodi ni nje na bili ya umeme. Pia bei hizi hutofautiana kutoka eneo moja kwenda eneo jingine. Hali hii huwafanya wapangaji kushindwa kujimudu kimaisha kutokana na kuwa kodi zipo juu na kipato/mishahara wanayopata kwa mwezi ni kidogo sana. Kwa mtazamo wangu naona ni vizuri pawepo na sheria itakayowabana mamiliki wa vyumba.

Hili tatizo ni kubwa sana na bora hata Arusha ila kwa Dar es Salaam ni issue. Nyumba & apartments zimekuwa zinarentiwa kwa US$ na ni ghali sana. Kama serikali ingekuwa imara tusingenyonywa kiasi hichi.
Wizara inayoushughulika na makazi na ujenzi zilitakiwa ziwe zimeweka viwango vya kodi na kuwezesha watanzania wa kawaida kumudu. Serikali iko tu kama baba asiyejali familia yake kwani wangetumia taratibu nzuri nyumba zenekuwa nafuu na serikali ingepata mapato mazuri pia.
Mfano as higher the rent the higher percentage of with holding taxea and rents na rate ndogo zisitozwe kabisa kodi. na kuwe na specifications za kuregulate viwango hivyo bila kuathiri return kwa investment ya mpangishaji. Pia Maeneo, ownership, security, sewage systems and mengineyo.
 
Hivi mnaposema double huwa mnamaanisha chumba cha namna gani?
halafu hizo bei naona kama ziko chini sana, hivi chumba cha 20k sidhani kama kina hata ceiling.
 
Gharama za ujenzi ndugu yangu kuanzia viwanja, vifaa hadi ufundi ni juu hivyo kodi kuwa ndogo sio rahisi labda pembezoni mwa miji.
 
wengine wanajinyima ili wajenge nyumba kama sehemu yao ya kuwaingizia kipato kwa sasa na pale watakapokuwa wamepungukiwa nguvu za mikikimikiki....wengine tunakazana ili washushe kodi bila kujali kwamba gharama za ujenzi nazo ziko juu. Kwa tanzania hilo la sheria ya kuregulate litakuwa gumu mana hao watunga sheria ndo wanafaidika na upangishaji wa hizo apartments. ushauri: vijana tupunguze starehe, ulevi wa kupindukia, kuonga wanawake kila mtaa, kununua vitu vya kifahari bila ulazima. mfano unakuta kijana anamiliki simu mbili au zaidi za.bei mbaya, laptop kali, kamera, gari, ukiingia kwakw na flat screen kama za kwenye studio za cnn au arjazeera., na gari juu. hapo kimahesabu ya haraka haraka angekuwa na hata chumba na sebule kule mabwepande kwa ajili ya kujibanza huku akiangalia ustaharabu wa kuwa na maisha ya kisasa anayoyatamani (get the needs first and the wants badae hali ikitengemaa.)
 
Umenena kabisa, ngoja na mie nipaue kabanda kangu nipangishe, soko huria: kodi za vat juu, fees juu, mazao ya chakula juu, petrol juu, matibabu usiseme. Sasa mwenye biashara ya nyumba ndio pekee awekewe limit sio fair.

Halafu kingine huyu ndugu hiyo serikali anayoiomba icontrol rent hakuna hata kimoja inachorequlate wakati hata hao waanzalishi wa soko huria vipo baadhi ya vitu wanaregulate. Napenda mama Joe pale unaposema kwanini control ianzie kwenye output na si inputs kwanza? Bei ya na vifaa vya ujenzi wote tunaijua ilivyo kichaa then control ingeanzia huko kwanza.
 
Kumekuwepo na
ongezeko la bei ya vyumba vya kupangisha kila mara, wamiliki wa majumba
wamekuwa wakipandisha kodi kila mwaka jinsi wanavyopenda wao maana
hakuna sheria yeyote inayowabana. Mfano; Jiji la Arusha kodi ya chumba
cha chini ni Tsh20,000-30,000 kwa mwezi (single room) huku duble
vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi.
Na vyumba vyenye hadhi nzuri vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi
(single room) huku duble ni 60,000-150,000 kwa mwezi. Na hizi kodi ni
nje na bili ya umeme. Pia bei hizi hutofautiana kutoka eneo moja kwenda
eneo jingine. Hali hii huwafanya wapangaji kushindwa kujimudu kimaisha
kutokana na kuwa kodi zipo juu na kipato/mishahara wanayopata kwa mwezi
ni kidogo sana. Kwa mtazamo wangu naona ni vizuri pawepo na sheria
itakayowabana mamiliki wa vyumba.

Laiti ungejua gharama za ujenzi! Kazi bado serikali inakaza kodi ya nyumba za kupanga. Nani alipe kama sio mpangaji?
 
Gharama za ujenz ni changamoto, sasa mtu kajenga nyumba kwa milion 50, then apangishe kwa 150,000 kwa mwezi yaani itambidi asubil miaka 30 ndipo hera yake inarudi.
 
Biashara ya kupangisha nyumba inachukua muda mrefu sana kurejesha pesa, na mara nyingi wanajenga kisha anakuwa anatumia kama dhamana hizo nyumba kukopea kwa biashara zingine, wakati huo eneo lake linapanda value pia.
 
Kumekuwepo na ongezeko la bei ya vyumba vya kupangisha kila mara, wamiliki wa majumba wamekuwa wakipandisha kodi kila mwaka jinsi wanavyopenda wao maana hakuna sheria yeyote inayowabana. Mfano; Jiji la Arusha kodi ya chumba cha chini ni Tsh20,000-30,000 kwa mwezi (single room) huku duble vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi.
Na vyumba vyenye hadhi nzuri vinaanzia Tsh40,000-60,000 kwa mwezi (single room) huku duble ni 60,000-150,000 kwa mwezi. Na hizi kodi ni nje na bili ya umeme. Pia bei hizi hutofautiana kutoka eneo moja kwenda eneo jingine. Hali hii huwafanya wapangaji kushindwa kujimudu kimaisha kutokana na kuwa kodi zipo juu na kipato/mishahara wanayopata kwa mwezi ni kidogo sana. Kwa mtazamo wangu naona ni vizuri pawepo na sheria itakayowabana mamiliki wa vyumba.

Mbona muda si mrefu mkuu tutarudi vijijini tulikozaliwa tuwaachie majumba yao maana mshahara wote unaishia kwenye kulipa kodi ya nyumba!!!
 
hiyo ndiyo dawa yao...wabaki na majumba yaooo
 
Back
Top Bottom