Ongezeko la kasi la ujenzi wa vituo vya kujazia mafuta (Petrol & Diesel)

BIASHARA YA MAFUTA INAPENDWA KWELI KWA SABABU NDIYO BIASHARA YENYE UKANJANJA MWINGI MNO, WIZI, UDANGANYIFU, HIVI KALE KA NYUMBA PALE KURASINI KALIKOKUWA NA KOKI YA KUIBIA MAFUTA WALIKADHIBITI, MAANA KALIKUWA KANAKWIBA HATA WAKATI WA MZEE BABA NA HAKUSEMA LOLOTE ALIKAA KIMYA TU.
 
Hii chai nasubiria maandazi 5 nishibe

kwa kweli hapa katupiga. [emoji23][emoji23][emoji23]hazijafika 20 zipo kama 14 au 15 na hapo nimemuhesabia na zinazojengwa.
 
Punguzeni wivu basi...

Mwacheni mzee wa watu ale pensheni yake

Nakumbuka wivu huuhuu kuna kipindi kila kituo cha mafuta unaambiwa ni cha Ridhiwani...
Sio dhambi wao kumiliki
Kama umeangalia kinachosemwa ni ujenzi holela wa vituo vya mafuta na hasa hao lake oil.
Na pia ripoti zao za ukaguzi wa mahesabu si nzuri hali kadhalika. Wamewahi kulalamikiwa na competitors wao na kuna viashiria vya wao kupendelewa. Mpaka kuna wakati wadau waliomba FCC wingilie kati. Umenipata sasa?
 
Yaani kila Kona ya dar petrol station nyingi zinajengwa...zilizopo hazina demand kubwa ya wateja lakini mpya Ni nyingi .juzi nilipita njia ya chanika zinajengwa Kama utitili ..so wajuzi wa sekta ya mafuta mtujuze? Hii biashara Ina faida kiasi gani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: bmk
Mbeya ndiyo usiseme aisee...
 
Ulipoingiza masiasa yako tu ndo ukaharibu
 
Hii inaitwa 'back in time' so ni mwendo wa kuchangamkia fursa.
 
Joint venture you never know mkubwa wa sasa nae kupewa zake kwa jina lillilozoeleka kuondokana na makelele, akili kila mtu na zake, pia hawa wakubwa wakifa zile pesa zao za nje huko huwa ngumu sana watoto kuzipata, ni vema wazilete ndani tu, pia tunashukuru Samia aendelee na ruksa hii watu walete mapesa hapa tz.
 
Barabara ya Dar es Salaam Mbeya ina magari mengi na mazito kuliko route nyingine nchini.
 
Duuh wabongo sisi kwa story tu hatujambo.
Kuna kipindi wakati mabasi ya princes muro yameshika soko walisema ya msoga family.
 
ujengwaji huo tukumbuke kuna vijana wenzetu nao wamepata ajira hapo,kuzisemea vibaya sio vizuri tena tunatakiwa tuwashukuru sana hao Lake Oil wajenge tena na nyingine ili vijana tuliopo mitaani nasi tupate ajira na kuzisaidia familia zetu
 
Reactions: bmk
Hata Morogoro nimeona hii kitu, lakin mi namawazo tofauti siioni hii biashara km ni yakudumu kwa miaka kadhaa ijayo and the reason ni kwamba TESLA is comming....
 
Duuh wabongo sisi kwa story tu hatujambo.
Kuna kipindi wakati mabasi ya princes muro yameshika soko walisema ya msoga family.
Tunahoji ongezeko la ujenzi wa vituo vya mafuta kama ni kuwa uchumi unaimarika zaidi ama biashara ya mafuta iko na margin nzuri ndiyo maana wawekezaji wazawa na wageni wanakimbilia kuifanya???

NI SIMPLE SANA KUELEWA, USITESE AKILI YAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…