Robin20
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 538
- 498
Bila shaka mkuuNina uhakika nawe ukitaka kufungua chako hutanyimwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka mkuuNina uhakika nawe ukitaka kufungua chako hutanyimwa....
Hii chai nasubiria maandazi 5 nishibeBarabara ya MBEZI - GOBA - MBEZI BEACH ina urefu 16 km tu lkn kuna Petrol Stations kama 20 hv na bado zinajengwa!
Hii chai nasubiria maandazi 5 nishibe
Sio dhambi wao kumilikiPunguzeni wivu basi...
Mwacheni mzee wa watu ale pensheni yake
Nakumbuka wivu huuhuu kuna kipindi kila kituo cha mafuta unaambiwa ni cha Ridhiwani...
Hii chai nasubiria maandazi 5 nishibe
Mbeya ndiyo usiseme aisee...
Ulipoingiza masiasa yako tu ndo ukaharibuHeri ya mwaka mpya?
Kama wewe ni msafiri maeneo mengi sana nchini yanajengwa Vituo vya kujazia mafuta. Mfano ukitoka Dar es salaam kuelekea tunduma...Njiani ni mamia ya vituo yanajengwa hasa kampuni ya "LO". Dah aisee hii kampuni inavituo jamani yaani huwezi tembea 200km hujakutana na kampuni hii...
WACHUMI MTUSAIDIE:
• Hii inamaanisha nini kiuchumi? Kwamba uchumi unakua vizuri hasa ukizingatia moja ya drive za uchumi ni MAFUTA?
• Kama mmegundua ujenzi huu wa kasi umeanza kuanzia mwezi wa nne mwaka 2021...Hii inamaanisha nini kwamba raisi hayati Jpm alibana watu wasijenge AU lile bomba limetengenezewa koki ya pembeni baada ya kuondoka kwake?
• Kama mafuta ni mengi kwa maana ongezeko limekuwa kubwa, kwanini hayashuki bei?
Nitafurahi nikipata majibu hasa ya kiuchumi zaidi.
Ahsante.
Tunahoji ongezeko la ujenzi wa vituo vya mafuta kama ni kuwa uchumi unaimarika zaidi ama biashara ya mafuta iko na margin nzuri ndiyo maana wawekezaji wazawa na wageni wanakimbilia kuifanya???Duuh wabongo sisi kwa story tu hatujambo.
Kuna kipindi wakati mabasi ya princes muro yameshika soko walisema ya msoga family.