Ongezeko la mabinti (wanawake) waliochora tattoo sehemu mbalimbali za miili yao, nini tatizo? Haliwezi kuhatarisha makuzi ya mabinti wa kesho?

Tembea uone, tattoo siyo uhuni. Toka zamani tattoo zipo, je unajua hena au pickle ni nini. Siku hizi Kuna madarasa ya urembo Dar, Tanga na Zanzibar, mwanamke wa kiislamu wakati wa harusi yake huwa anachorwa nini kwenye mwili wake. Aibu kwangu
Mwanamke hata awe mzuri kiasi cha pekee, akishakuwa na tattoo kwangu Mimi thamani yake imeshaporomoka namchukulia kama chuda fulani
 
Tembea uone, tattoo siyo uhuni. Toka zamani tattoo zipo, je unajua hena au pickle ni nini. Siku hizi Kuna madarasa ya urembo Dar, Tanga na Zanzibar, mwanamke wa kiislamu wakati wa harusi yake huwa anachorwa nini kwenye mwili wake. Aibu kwangu
Kila mtu na mapendeleo yake ndugu. Sipendi tattoos kwa namna yyt ile! Najizungumzia mimi
 
Kwa kiasi kikubwa Taifa limeshindwa kujenga jamii yenye watu wenye discipline.

Kifupi CCM imefeli kila mahala.
 
Uzuri kila mtu kapewa uhuru kufanya atakacho. HAYAKUHUSU, waache wafaidi kujichora ili mradi wao wanajua nini wanataka na faida yake.

Si kila jambo lililopo kwa mwenzako unataka kulijua. Focus na ysko. Mfano sisi tuanze kuhoji chupi unazovaa vile hatuzikubali, haingii akilini.

Miili ni yao, hawavunji sheria za nchi na Mungu kawapa uhuru kuchagus yanayoburudisha mioyo yao. Fainali ni kiama, ila sasa hivi kila mtu afanye ajuavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…