Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa walimu kwani wasitegemee mapinduzi yoyote ya elimu bali zero zitaongezeka tu.
Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa walimu kwani wasitegemee mapinduzi yoyote ya elimu bali zero zitaongezeka tu.
eti nawe unajiita mwalimu!akili imejaa makamasi tu,na mtaendelea kula vumbi la chaki mpaka yesu arudi mabogus wakubwa nyie.
bora hata na wewe umeliona hilo mkuu,hawa walimu wa siku hzi wanaenda kusomea ualimu kwa sababu walifeli huko secondary au wengine ili tu wapate bumu..mwishowe ndo hawa wanaishia kuuza maandazi na wengne kuwa mabodaboda huko mashuleni na kuwaacha watoto wakifeli.halafu hata wasivyokua na aibu eti bado nao wanataka waongezewe mshahara..walimu mishahara yenu itabaki kuwa TGS D milele,hawana mchango wowote katika hili taifa.
msitarajie chochote mana hamna haki chini ya jua yan muwavivu kujenga hojaJamani mbona hotuba ya waziri wa elimu haijataja asilimia za ongezeko la mishahara kwa walimu
kama wazazi au ndugu yako alifeli akakimbilia ualimu usitufananishe na sisi,bora hata na wewe umeliona hilo mkuu,hawa walimu wa siku hzi wanaenda kusomea ualimu kwa sababu walifeli huko secondary au wengine ili tu wapate bumu..mwishowe ndo hawa wanaishia kuuza maandazi na wengne kuwa mabodaboda huko mashuleni na kuwaacha watoto wakifeli.halafu hata wasivyokua na aibu eti bado nao wanataka waongezewe mshahara..walimu mishahara yenu itabaki kuwa TGS D milele,hawana mchango wowote katika hili taifa.
kama wazazi au ndugu yako alifeli akakimbilia ualimu usitufananishe na sisi,
au kama ulisomeshwa kwa fedha za kuuza mandazi usione na walimu wapo ivo
Alafu wew unayehoji ufaulu wa waalimu ONYESHA vyeti vyako kama ulifaulu au kama hata umesoma,umeishia kupata div.3 na 2 hata chuo hujaenda
kuwa makini na kazi ya mtu,kwan mwalimu si mtu?nani asiyetoa maneno ya kukera endapo kaudhiwa?wat z busara?wewe unazo?hata ng'ombe anazo..Reactions za walimu hawa wa kidigital zinaonyesha hawana busara,mwalimu wa kweli kitaaluma hawezi kuandika matusi makubwa kwenye jukwaa linaloheshmika ama JF..mi naona uwezo wao wa kufikiri unaendana na mshahara wanaolipwa wawe wapole tu.
Mkuu huyo Perry sijui ana matatizo gani na walimu, ikitokea mada yoyote inayohusu walimu basi lazima aponde tena kwa chuki, Nahisi he is kinda psychotic..!!
acha kupongeza upumbavu ww!walimu hawapo unavyofikiria ww,ila hasira nakutofundisha kwamoyo kunatokana mishahara duni!ww kama kweli nimtu wahaki utakubaliana namm,kamkubwa haiwezekani mzigo wakazi tembo afu mshahara sisimizi.walimu tutaendelea kushikiria ajira!
kuwa makini na kazi ya mtu,kwan mwalimu si mtu?nani asiyetoa maneno ya kukera endapo kaudhiwa?wat z busara?wewe unazo?hata ng'ombe anazo..
Uwezo wa kufikiri unapimwaje?na wew unauwezo wa kiasi gan?lazima utakuwa 0 tu.kama sio usingeandika uo upuuzi.
fikiria wanao alafu urudie kuandika iyo comment