Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

Kuna ndoa ya mtoto wa dada inaelekea kuvunjika. Mwanamke karudi kwa EX wake ambaye ana mke tayari . Ndoa ina 2 years.
Kila siku tunasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke ambae umemkuta bikira watu hawaelewi. Mwanamke ambae ashatumika ana kumbukumbu ya mambo yote aliyofanyiwa na watangulizi wako, na hautaweza kuwazidi hao watangulizi wako wote kwenye kila kipengere
 
Ikifika 2035 sijui km kutakuwa na anaeowa na kuolewa, tuuwaombee sana watoto wetu🥲
Wanawake wanataka kuzaa tu bila ndoa Tena anàchagua wa kuzaa nae, huku wanaume nao hivyo hivyo!
Sure , hakutakuwa na ndoa tena.
 
Kila siku tunasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke ambae umemkuta bikira watu hawaelewi. Mwanamke ambae ashatumika ana kumbukumbu ya mambo yote aliyofanyiwa na watangulizi wako, na hautaweza kuwazidi hao watangulizi wako wote kwenye kila kipengere
Mhhh, wapo walioolewa bikra na wakawasaliti waume zao na ndoa zimevunjika. Inategemea na akili ya mtu.
 
Kama kipato basi ni upande wa mume , mke kipato chake hakihesabu : swali wanaume watapata wapi kipato wakati huu wanaminyana na wanawake kweny fursa zie zile?
 
Mhhh, wapo walioolewa bikra na wakawasaliti waume zao na ndoa zimevunjika. Inategemea na akili ya mtu.
Mwanamke kujitunza mpaka atakapoolewa ni kiashiria cha kuthamink mwili wake na nidhamu ya kudhibiti tamaa. Kwa namna yoyote possibility ya mke ambae umemkuta bikira kuwa mwaminifu ndoani ni kubwa ukilinganisha na ambae umekutana nae akiwa ashatumika
 
Kumpata sasa huyo bikra, jiji km la dar, unaweza Tenga milioni 2 na ukatangaza dau mwanamke yeyote Mwenye bikra alie na miaka 18 kuendelea aje na utampa laki moja 100k, na jioni ukashangaa umerudi na kibunda km kilivyo😏
 
Vijijini walau, na mademu wenye umri mdogo zaidi unaweza kubahatisha.
 
Kadiri muda unavyosonga, tunatoka kwenye kumpata bikra, tunaingia kwenye kutafuta ambaye Hana mtoto baadae tutatafuta Mwenye mtoto sasa, au alieachika maana wote watakuwa wameshazaa🤣🤣
 
Kumpata sasa huyo bikra, jiji km la dar, unaweza Tenga milioni 2 na ukatangaza dau mwanamke yeyote Mwenye bikra alie na miaka 18 kuendelea aje na utampa laki moja 100k, na jioni ukashangaa umerudi na kibunda km kilivyo😏
Wapo mkuu inategemea na circle yako. Mwanamke mpaka anafika 20 bado bikira ni kiwango cha juu sana cha maadili. Wanawake kama hawa wanakuaga sio watu wa kujichanganya sana walimwengu.
 
Mwanamke kujitunza mpaka atakapoolewa ni kiashiria cha kuthamink mwili wake na nidhamu ya kudhibiti tamaa. Kwa namna yoyote possibility ya mke ambae umemkuta bikira kuwa mwaminifu ndoani ni kubwa ukilinganisha na ambae umekutana nae akiwa ashatumika
Sio wa siku hizi. Kwanza hao bikra utawapata kwa tochi. Halafu bikra mnatakiwa muwe wote bikra sio wewe unachovya hovyo halafu unataka bikra loh.
 
Wapo mkuu inategemea na circle yako. Mwanamke mpaka anafika 20 bado bikira ni kiwango cha juu sana cha maadili. Wanawake kama hawa wanakuaga sio watu wa kujichanganya sana walimwengu.
Utawawapata kwa tochi. Mbona wengine tulianza uhusiano tukiwa na 24, sio big deal kihivyo.
 
Sio wa siku hizi. Kwanza hao bikra utawapata kwa tochi. Halafu bikra mnatakiwa muwe wote bikra sio wewe unachovya hovyo halafu unataka bikra loh.
Sijasema wanapatikana kirahisi.
Infact, hata hao ambao washatumika kupata wife material ni shughuli pevu.

Suala la bikira kwa mwanamke na mwanaume kiroho na kijamii ni viwakilishi tofauti. Kwenye ulimwengu wa kiroho maana na uzito wa bikira ya mwanamke ni tofauti kabisa na mwanaume.

Hivyo hivyo kwenye jamii mwanaume chovya chovya hakutani na dhihaka ambazo anakutana nazo mwanamke chovywa chovywa. Haiwezekani kumuhukumu mwanamke na mwanaume kwa kigezo sawa kwenye kila kitu.

Kila jinsia ina maeneo ambayo inabanwa wakati huo kwenye jinsia nyingine sio ishu, mfano mahusiano au ndoa jinsia zote ni wahitaji lakini mwanamke anaweza kuingia akiwa masikini ambae hana chochote yaani uwepo wake tu unatosha tofauti na mwanaume ili uingie kwe ye mahusiano/ndoa lazima kuwe na thamani utakayo-provide
 
Back
Top Bottom