Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kila siku tunasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke ambae umemkuta bikira watu hawaelewi. Mwanamke ambae ashatumika ana kumbukumbu ya mambo yote aliyofanyiwa na watangulizi wako, na hautaweza kuwazidi hao watangulizi wako wote kwenye kila kipengereKuna ndoa ya mtoto wa dada inaelekea kuvunjika. Mwanamke karudi kwa EX wake ambaye ana mke tayari . Ndoa ina 2 years.
Sure , hakutakuwa na ndoa tena.Ikifika 2035 sijui km kutakuwa na anaeowa na kuolewa, tuuwaombee sana watoto wetu🥲
Wanawake wanataka kuzaa tu bila ndoa Tena anàchagua wa kuzaa nae, huku wanaume nao hivyo hivyo!
😂😂Wamejipanga vizuri tu. KATAA NDOA
Mhhh, wapo walioolewa bikra na wakawasaliti waume zao na ndoa zimevunjika. Inategemea na akili ya mtu.Kila siku tunasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke ambae umemkuta bikira watu hawaelewi. Mwanamke ambae ashatumika ana kumbukumbu ya mambo yote aliyofanyiwa na watangulizi wako, na hautaweza kuwazidi hao watangulizi wako wote kwenye kila kipengere
Kheri huyo kuliko kilichonitokea mm, ndoa Ina mwezi mmoja na nusu. Mke anataka talaka....Kuna ndoa ya mtoto wa dada inaelekea kuvunjika. Mwanamke karudi kwa EX wake ambaye ana mke tayari . Ndoa ina 2 years.
Mwanamke kujitunza mpaka atakapoolewa ni kiashiria cha kuthamink mwili wake na nidhamu ya kudhibiti tamaa. Kwa namna yoyote possibility ya mke ambae umemkuta bikira kuwa mwaminifu ndoani ni kubwa ukilinganisha na ambae umekutana nae akiwa ashatumikaMhhh, wapo walioolewa bikra na wakawasaliti waume zao na ndoa zimevunjika. Inategemea na akili ya mtu.
Kumpata sasa huyo bikra, jiji km la dar, unaweza Tenga milioni 2 na ukatangaza dau mwanamke yeyote Mwenye bikra alie na miaka 18 kuendelea aje na utampa laki moja 100k, na jioni ukashangaa umerudi na kibunda km kilivyo😏Mwanamke kujitunza mpaka atakapoolewa ni kiashiria cha kuthamink mwili wake na nidhamu ya kudhibiti tamaa. Kwa namna yoyote possibility ya mke ambae umemkuta bikira kuwa mwaminifu ndoani ni kubwa ukilinganisha na ambae umekutana nae akiwa ashatumika
Vijijini walau, na mademu wenye umri mdogo zaidi unaweza kubahatisha.Kumpata sasa huyo bikra, jiji km la dar, unaweza Tenga milioni 2 na ukatangaza dau mwanamke yeyote Mwenye bikra alie na miaka 18 kuendelea aje na utampa laki moja 100k, na jioni ukashangaa umerudi na kibunda km kilivyo😏
Kadiri muda unavyosonga, tunatoka kwenye kumpata bikra, tunaingia kwenye kutafuta ambaye Hana mtoto baadae tutatafuta Mwenye mtoto sasa, au alieachika maana wote watakuwa wameshazaa🤣🤣Vijijini walau, na mademu wenye umri mdogo zaidi unaweza kubahatisha.
Wapo mkuu inategemea na circle yako. Mwanamke mpaka anafika 20 bado bikira ni kiwango cha juu sana cha maadili. Wanawake kama hawa wanakuaga sio watu wa kujichanganya sana walimwengu.Kumpata sasa huyo bikra, jiji km la dar, unaweza Tenga milioni 2 na ukatangaza dau mwanamke yeyote Mwenye bikra alie na miaka 18 kuendelea aje na utampa laki moja 100k, na jioni ukashangaa umerudi na kibunda km kilivyo😏
Sio wa siku hizi. Kwanza hao bikra utawapata kwa tochi. Halafu bikra mnatakiwa muwe wote bikra sio wewe unachovya hovyo halafu unataka bikra loh.Mwanamke kujitunza mpaka atakapoolewa ni kiashiria cha kuthamink mwili wake na nidhamu ya kudhibiti tamaa. Kwa namna yoyote possibility ya mke ambae umemkuta bikira kuwa mwaminifu ndoani ni kubwa ukilinganisha na ambae umekutana nae akiwa ashatumika
Utawawapata kwa tochi. Mbona wengine tulianza uhusiano tukiwa na 24, sio big deal kihivyo.Wapo mkuu inategemea na circle yako. Mwanamke mpaka anafika 20 bado bikira ni kiwango cha juu sana cha maadili. Wanawake kama hawa wanakuaga sio watu wa kujichanganya sana walimwengu.
Sijasema wanapatikana kirahisi.Sio wa siku hizi. Kwanza hao bikra utawapata kwa tochi. Halafu bikra mnatakiwa muwe wote bikra sio wewe unachovya hovyo halafu unataka bikra loh.