ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc Mbonele na yule mzee wa kujifanya wa Mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo, nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.
Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno, utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.
Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana, sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.