Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

Tiktok Snapchat

Hapana aisee he'll nope [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc Mbonele na yule mzee wa kujifanya wa Mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo, nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno, utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana, sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.

kukosa ajira haisababishi ufanyeumalaya. dubai kuna malaya wengi sana na wengi wao wana ajira marekani kuna malaya wengi na kunaajiri za kumwaga. umalaya uni ukosefu wa mafundisho ya dini kwa waislamu mzazi atampeleka mwanae madrasa ya kupiga dufu mtoto akitoka hapo ni mwimbaji wa bongo fleva au kama ni msichana ndio hao wanao fuatisha nyimbo katika tik tok
 
Mabinti Wa kike Tz washaona wanaume hapa bongo ni warafi Wa papuchi Akiwa na Shape mbatata sura majaaliwa basi anajua ataishi mjini kupitia viungo vyake, Binti kama huyo kumbadilisha akili yake ajishighulishe ni ngumu mno na hata umpe mtaji hawezi jiajiri.

Conclusion wacha wafanye wanalotaka Muumba wa ardhi na Mbingu ndio bingwa wa kujaji binadamu[emoji41]

hongera umesema la maana
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc Mbonele na yule mzee wa kujifanya wa Mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo, nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno, utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana, sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.
Matako !!!!! matako mtu analia????? kweli......si unayo yako???shida iko wapi???...labda ungeumia huna gari /nyumba/Elimu....hapo sawa.....lkn eti kabisaaa una lilia ule mtaro ule Mchafuuu!!! wkt na wewe unao??? soon utaokota makopo!

Na Weye bana una tatizo la Msingi!! ...hivi humu Duniani kuna mtu hana Makalio??? tena waweza kuta weye yako ni makubwa zaidi ya hao! hao!!...sasa kwa nini utamani cha jirani yako wkt na wewe unayo ya kwako??..sasa nakupa Dawa hii buuureeeee.....

weka vioo viwili uyaangalie ufaidi usiku weeee!! uyache zeee tani yako usilale! .......yaani hata ukitaka kuweka vidole weka ........wewe tu!! kwani nani anakuona bana??? utapo kinai .... hutakuja kulia lia tena hapa kuhusu matako!!
 
Umenikumbusha ngoja nikamuangalie dada mmoja huko insta hyo ndo kazi yake ila ni mtoto mashallah kweli.
Ni raha kuangalia dada wa wenzako ila usiombe siku umuone dadaako
 
Iz ze branch ofu APP zat iz uzed tu rimaind yu ifu yu a singo

Kikubwa nilichokiona tiktok ni couples 'zinazoringishia' namna mahusiano yao yanavyoendelea vizuri
Ni kwel wanaringishia mahusiano yao, lkn pia wanapiga pesa kupitia hao followers wao
 
Umenikumbusha ngoja nikamuangalie dada mmoja huko insta hyo ndo kazi yake ila ni mtoto mashallah kweli.
Ni raha kuangalia dada wa wenzako ila usiombe siku umuone dadaako
Umenikumbusha wale wa Challenges za nyimbo za ki South Africa. Ni hatari aisee
 
wanapromote bidhaa nyingine ambayo wengi hamuitumii, wanajaribu kufanya marketing ili wateja wawe wengi..... ukiona dada anatabia yakuchezesha mitako ujue chakula hiyo aka anapiga miguu yooote...na mafuta anayo.... kazi kwako..
 
Cha kushangaza wale Walioko Chuo ndio mahodari sana katika kuyachezesha makalio labda ndio wanachosomea na kupata Shahada mbalimbali
 
Umenikumbusha wale wa Challenges za nyimbo za ki South Africa. Ni hatari aisee
Siku zinavyozidi kwenda hivi ndo jinsi navyoiona Instagram

Screenshot_20220331-205956.png
 
Back
Top Bottom