Sijui mimi ndo mshamba ila kuna mitandao sijawahi hata kujiunga nayo mfano:
1. TikTok
2. Snapchat
3. Instagram ( hii nilijiunga nikakuta ni umalaya tu nikafuta akaunti yangu fasta 2015)
4. Facebook (nilifuta application kwenye simu yangu, naichunguliaga mara chache sana kwa mwezi kupitia laptop tu)
5. WhatsApp (nilifuta kwenye simu yangu ya kila siku, naivizia mara moja moja kwenye simu ambayo situmii. Hata line inayotumika huko siyo yangu ila ndo hivyo)
Kimsingi nimekuwa very much against social media. Kwa sasa nadhani JF ndo natumia sana.