Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

Mabinti Wa kike Tz washaona wanaume hapa bongo ni warafi Wa papuchi Akiwa na Shape mbatata sura majaaliwa basi anajua ataishi mjini kupitia viungo vyke, Binti kama huyo kumbadilisha akili yake ajishighulishe ni ngumu mno na hata umpe mtaji hawezi jiajiri.

Conclusion wacha wafanye wanalotaka Muumba wa ardhi na Mbingu ndio bingwa wa kujaji binadamu😎
MKUU SIKU ZOTE MABINTI HUWA WAKIKE ILA. LIKE
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.
Ukosefu wa ajira pia hawataki kufanya kazi nzito kwa kigezo Cha urembo,ndiyo kibawafanya wajiuze kwa sitaili hiyo.
 
Hiki ndo kizazi chenu vijana mliozaliwa kwenye teknolojia ya utandawazi.....
Waliozaliwa kwenye teknolojia yenye utandawazi bado hawajaweza kumiliki simu kaka.

Waliozaliwa kwenye utandawazi huu wa instagram au tiktok hata miaka 10 hawajatimiza kaka kwa sababu miaka 10 nyuma hakukuwa na haya mambo hapa bongo.

So sote tumezaliwa kabla ya hizi mambo kupamba moto.

Kama kuyaona ndo tunayaona yote wazee na vijana.
 
Ukosefu wa ajira pia hawataki kufanya kazi nzito kwa kigezo Cha urembo,ndiyo kibawafanya wajiuze kwa sitaili hiyo.
Sasa mwanamke mrembo akafanye kazi nzito ili iwaje? Hayo matumizi mabaya ya hawa warembo
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.
Mkuu ume download Tiktok kwa kuchelewa sana kulifungua hilo pazia, tayari siku nyingi nadhani ungelikuwa ushatoa neno!

Kuna kawimbo fulani ka amapiano sijui kanaitwa "amajuu"! Mwimbaji kama anapiga chafya!

Ebanaee wadada wanakapenda hako na wanavyocheza sasa, ni matusi matupu!
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.
Tick tock ni ya wamama
 
Roho ya ukahaba na uzinzi imemwagwa toka kuzimu Ili kuchochea ashiki ya ngono kupitia mavazi ya nusu uchi, kumbuka fashion industry ipo chini ya shetani owner's wengi wa hii industry ni agent, au luciferous. Lengo kuu ni kubomoa maadili. Kuanzia kizazi cha mwaka 2000 kimeuza nafsi zao na kipo kwenye matengenezo kuelekea uharibifu.
 
Zile dawa za kuongeza makalio, shape, na kutengeneza rangi ya chungwa si ndo Kazi yake hio
 
Mkuu una ugeni sana huko telegram Kuna biashara kubwa sana zinaendelea huko. Biashara za mbususu na kuna madalali wa hizo kazi ambao wanapiga hela safi sana
Kumbe nawe upo,kumejaa madalali
 
Chek haya mambo ya kufatwa inbox si ndo ya kuvunja ndoa shemeji yenu akifuma message kama hizi si dhahama hii , hadi wasap unafatwa inbox wanaomba urafiki

Screenshot_20220330_212821.jpg
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.
Una video tuone mkuu??
 
Back
Top Bottom