smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
safi sana lazima wanywe sumu mwaka huu asante sana mleta picha!! .....na hapo lazima ni hela n
deeefu hutaki wenzako wanafaidi
Wewe kama wewe!! wasamehe hawajui walitendalo! ..........tena kerubi ndo wale walioko ktk kiti cha Enzi km hajui!! ...labda aombe msamaha yaishe! vinginevyo ataungua moto live!Hawa watumishi feki wanasababisha maneno ya kwny vitabu vitakatifu yaonekn hayana maana kabisa sasa kerubi kwenye Biblia na kuchezesha makalio wapi na Wapi jameni?