Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

Ukiona mwanamke anaonesha kalio basi juwa anatoa jicho
Ana hamasisha aliwe jicho tu
Sahv asilimia kubwa ya wanawake wanaliwa jicho kwa dau fulani
Tiktok asilimia kubwa wanaonesha mkndd tu, biashara matangazo

Ova
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.
ungetupia na kavideo kamoja sasa
 
ungetupia na kavideo kamoja sasa
Sema huyu sio mbongo subiri za wabongo
Screenshot_20220329-153523.jpg
Screenshot_20220330-105201.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona mwanamke anaonesha kalio basi juwa anatoa jicho
Ana hamasisha aliwe jicho tu
Sahv asilimia kubwa ya wanawake wanaliwa jicho kwa dau fulani
Tiktok asilimia kubwa wanaonesha mkndd tu, biashara matangazo

Ova
Kuna promo kubwa sana inapigwa sasa hivi na wadada ili kuwahamasisha wanaume wapitie round about.
Wanawake sasa hivi wamekosa haya kabisa.
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka sana tena kwa kiwango kikubwa mno utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.

Nashauri Serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa ajira. Tunatengeneza kizazi cha ovyo sana sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.
tuseme ukweli tu!!! wanapendeza buana vile vitako vkibinuka hivi vikarudi hivi! weweee! mnato tupu!! ni wabunifu na weye mwenzangu na mie huwezi kuwapata wa hivo kwa nini usiumie roho???

wadada twende kazi......bundle la nani kwanza!!... sikia sasa .ukitaka kuwakomoa na wewe binua kibamia chako! binuuuuuu!!
 
Back
Top Bottom