Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

Iz ze branch ofu APP zat iz uzed tu rimaind yu ifu yu a singo

Kikubwa nilichokiona tiktok ni couples 'zinazoringishia' namna mahusiano yao yanavyoendelea vizuri

Na kama una akili fupi alafu unadate zako na msukuma wako au muha unaweza umuache ukihisi akupendi[emoji28][emoji28]
 
Nadhani ni typing error alikuwa anamaanisha TikTak. Kwani mkuu hujui soka la kisaaa kama la pep Guardiola au ile ya Pablo? Boss wetu Mohamed wa mto Msimbazi naye kajiunga kwenye hili soka la TikTak ikawa ni bonge la habari. Kumbe soka la TikTak lina mambo mengi hivyo

Ni tiktok bhana
 
Mabinti Wa kike Tz washaona wanaume hapa bongo ni warafi Wa papuchi Akiwa na Shape mbatata sura majaaliwa basi anajua ataishi mjini kupitia viungo vyke, Binti kama huyo kumbadilisha akili yake ajishighulishe ni ngumu mno na hata umpe mtaji hawezi jiajiri.......Conclusion wacha wafanye wanalotaka Muumba wa ardhi na Mbingu ndio bingwa wa kujaji binadamu😎
Wacha bwana warembo watumie walivyobarikiwa.....yaani tako ndio mtaji namba moja kwa mwanamke bwana
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana NI za wadada wa kibongo nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya remix za wasanii wengine mpaka wanatukana.

Sasa na hizi nguo wanazovaa nusu uchi mbona maadili yameshuka Sana Tena kwa kiwango kikubwa mno utandawazi ndo unakuja kwa style hii kweli.nashauri serikali isiachie Uhuru namna hii lazima ifanye katafiti kdg kuweza kujua huenda tatizo hili la umalaya linasababishwa na ukosefu wa Ajira. Tunatengeneza kizazi Cha ovyo sana sidhani kama wapo wenye kazi zao wanaweza ku entertain ujinga wa namna hii.

Sijui mimi ndo mshamba ila kuna mitandao sijawahi hata kujiunga nayo mfano:
1. TikTok
2. Snapchat
3. Instagram ( hii nilijiunga nikakuta ni umalaya tu nikafuta akaunti yangu fasta 2015)

4. Facebook (nilifuta application kwenye simu yangu, naichunguliaga mara chache sana kwa mwezi kupitia laptop tu)

5. WhatsApp (nilifuta kwenye simu yangu ya kila siku, naivizia mara moja moja kwenye simu ambayo situmii. Hata line inayotumika huko siyo yangu ila ndo hivyo)

Kimsingi nimekuwa very much against social media. Kwa sasa nadhani JF ndo natumia sana.
 
Iz ze branch ofu APP zat iz uzed tu rimaind yu ifu yu a singo

Kikubwa nilichokiona tiktok ni couples 'zinazoringishia' namna mahusiano yao yanavyoendelea vizuri
Yani mimi sijawah tumia hiyo app zaidi ya kukutana na video zenye logo yake. Ila naskia mambo moto sana huko
 
Sijui mimi ndo mshamba ila kuna mitandao sijawahi hata kujiunga nayo mfano:
1. TikTok
2. Snapchat
3. Instagram ( hii nilijiunga nikakuta ni umalaya tu nikafuta akaunti yangu fasta 2015)

4. Facebook (nilifuta application kwenye simu yangu, naichunguliaga mara chache sana kwa mwezi kupitia laptop tu)

5. WhatsApp (nilifuta kwenye simu yangu ya kila siku, naivizia mara moja moja kwenye simu ambayo situmii. Hata line inayotumika huko siyo yangu ila ndo hivyo)

Kimsingi nimekuwa very much against social media. Kwa sasa nadhani JF ndo natumia sana.

Zote hizo hata mimi sio mpenzi sana ila Whatsaap ni muhimu sana kwa kupiga na kupokea simu

Whatsaap ni tofauti kabisa na hizo kwani ni mawasiliano ya moja kwa moja na ndugu ni muhimu sana

Twitter ndio
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini...
Biashara ni matangazo mkuu maisha magumu acha wadada watumie fursa
 
Sijui mimi ndo mshamba ila kuna mitandao sijawahi hata kujiunga nayo mfano:
1. TikTok
2. Snapchat
3. Instagram ( hii nilijiunga nikakuta ni umalaya tu nikafuta akaunti yangu fasta 2015)

4. Facebook (nilifuta application kwenye simu yangu, naichunguliaga mara chache sana kwa mwezi kupitia laptop tu)

5. WhatsApp (nilifuta kwenye simu yangu ya kila siku, naivizia mara moja moja kwenye simu ambayo situmii. Hata line inayotumika huko siyo yangu ila ndo hivyo)

Kimsingi nimekuwa very much against social media. Kwa sasa nadhani JF ndo natumia sana.
Kwa mtu anayejihusisha na mambo ya ujasiriamali hawezi kukosa instagram na Whatsapp labda kama ni mwajiriwa.
 
Back
Top Bottom