Halitosis, huitwa hivyo kiingereza. Ukiacha diet, funga au usugu wa uduni wa usafi wa kinywa cha meno; kuna issues kama za hormones ambazo huathiri uzalishaji Wa mate na kusababisha shida hiyo. Kuna mtu alikuwa na shida hiyo, baadae alikuwa sawa. Alitumia dawa za kienyeji.Ugonjwa wa usafi kinywani?
Harufu nalo ni jambo la kuchunguza 🤣Ukosefu WA Kazi tuu za msingi za kufanya paka unaanza kuchunguza wadada WA watu.
Wewe kama mimiKitu kinachoweza kunifanya nimshushe thamani mwanamke ni hiki...Ata awe na uzuri wa aje.
WanajijuaKuna manzi niliwahi kuwa nae, alinipenda sana maskini ya mungu. Ila nilimtema kwa sababu ya kunuka mdomo, alilia sana na aliniuliza kwann nimeamua kumuacha sikumwambia.
Nisingemtongoza, nilipenda presentation yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa eti" I can still smell it while writing this" we nyoko[emoji120]ulitaka kumtongoza ,wajidai katoa madini,thanks to her smell mouth imemsaidia[emoji120][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23]Ongea na uje na Action Plan
Rudi kwa.kila case patia dawa ya colgate na mswaki
Asante
Uwezo wako wa kuchagua ndiyo unaokupelekea udondokee kwaoNimevumilia kwa muda mrefu sana kulisema hili kuhusu ongezeko la wadada wanaonuka mdomo, I'm not sexist, i get grossed out by anyone with bad breath.
Lazima niwaambie ongezeko ni kubwa, kama humu wamo pia waanze usafi mara moja. Sifa ya mdada ni kuwa msafi, kuanzia kinywa, mwili na kila upande. Mdada unashindwa vipi usafi na mwanaume? Binafsi Iam a person with high level of hygiene, understand it as you wish.
Nakutana na watu tofauti wengi, basi bwana kuna siku tulikua na meeting sehemu flani. Mambo ya seminar haya, kuna mdada mmoja pisi ya kwenda kabisa, alikuwa speaker alitema madini mno kwenye ile semina. Baada ya kuisha, nikamfuata tuzungumze kidogo.
Ile kufungua mdomo tu, nikasikia harufu kali sana. Alafu anaongea faster faster. Nilikuwa natamani kuzimia hata muda wa chakula kilinishinda, i can almost smell it right now as I type this, still makes me want to throw up.
Hii ni aibu kubwa she's really beautiful, but that breath of her should be classified as a lethal weapon. Au itumike mbadala wa rungu na Hit, wadada bila kuwasema vikali hamtakua wasafi. I'm not sure it they are unaware how bad they smell.
Simaanishi muwe wasafi kama cute wife(I'm lucky that we have a great understanding match)
Lakini mjitahidi hata kidogo basi, you may strive for perfection but hygiene is a habit you have to acquire
Ni kutokusafisha mikono?Kwamba unaamini sababu pekee ya mtu mwanamke kunuka mdomo ni kwa sababu ya kutokusafisha kinywa?
Umeelewa kweli?Uwezo wako wa kuchagua ndiyo unaokupelekea udondokee kwao
Huo uwezo wa kumsogelea mdomoni unao?Ukiipiga mate alafu uchill baada ya mida flan unaanza kukafeel flan hv kale kaSmell mdomoni kwako
😂😂mimi huwa nakwepa kakaHuo uwezo wa kumsogelea mdomoni unao?
Palina..Ongea na uje na Action Plan
Rudi kwa.kila case patia dawa ya colgate na mswaki
Asante