Nimevumilia kwa muda mrefu sana kulisema hili kuhusu ongezeko la wadada wanaonuka mdomo, I'm not sexist, i get grossed out by anyone with bad breath.
Lazima niwaambie ongezeko ni kubwa, kama humu wamo pia waanze usafi mara moja. Sifa ya mdada ni kuwa msafi, kuanzia kinywa, mwili na kila upande. Mdada unashindwa vipi usafi na mwanaume? Binafsi Iam a person with high level of hygiene, understand it as you wish.
Nakutana na watu tofauti wengi, basi bwana kuna siku tulikua na meeting sehemu flani. Mambo ya seminar haya, kuna mdada mmoja pisi ya kwenda kabisa, alikuwa speaker alitema madini mno kwenye ile semina. Baada ya kuisha, nikamfuata tuzungumze kidogo.
Ile kufungua mdomo tu, nikasikia harufu kali sana. Alafu anaongea faster faster. Nilikuwa natamani kuzimia hata muda wa chakula kilinishinda, i can almost smell it right now as I type this, still makes me want to throw up.
Hii ni aibu kubwa she's really beautiful, but that breath of her should be classified as a lethal weapon. Au itumike mbadala wa rungu na Hit, wadada bila kuwasema vikali hamtakua wasafi. I'm not sure it they are unaware how bad they smell.
Simaanishi muwe wasafi kama cute wife(I'm lucky that we have a great understanding match)
Lakini mjitahidi hata kidogo basi, you may strive for perfection but hygiene is a habit you have to acquire