Ongezeko la Wadada Wanaonuka Mdomo. Hili ni Janga

MADAWA MENGI YA MENO NI FAKE..
SIJUK TBS WANAFANYA KAZI GANI
 
Nimekumbuka kabila moja ivi, wanapiga mswaki nje hata kama nyumba ya geti wanatoka nje, mswaki wanapigia barabarani mtaa mzima aisee.
 
hata wanaume pia wananuka sana midomo
 
Sio wadada tu,fatilia watu wengi hawajui kupiga mswaki?ni vyema kumfundisha mtoto vitu kama hivo
Afya ya meno na kinywa ni changamoto kwa watu wengi ndo maana kila siku watu wanaumwa meno kwa sababu hawajali vitu kama dawa za kutumia,miswaki,imagine mtu anatumia mswaki six months tena wa jero kuhusu dawa nisiongee

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaniii!!!
 
Shida za hivyoo uwezi kuzipata kwa sisi mashangazi😅😅
Na mmebarikiwa pia namna nzuri ya kufinyia kwa ndani hadi nafurahigi na naona thamani ya kuumbwa na bolo nikitafunaga lishangazi
 
In digestion inayosababishwa na kutokunywa maji mengi!wanafakamia soda tu na juice maji hawanywi sana eti hayana ladha hence choo kuganda kwa sana na backward reaction KWA mdomo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…