Ongezeko la wasomali Tanzania linaweza kutishia Amani na Kutufanya vibaraka siku za usoni!!

[mention]Kosugi [/mention] hajaona hii post atakuja hapa mbio
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio kila post kama hizo mie hujibu.
Natizama kipi kinachofaa kujibu,hapo hakuna cha maana zaidi ya hatred content.
 
serikali si watu kama ww!!

Akili hizo hizo hoe hae ulizonazo ungekua umezaliwa koo za wanasiasa wangekua washakupenyaza na kiongozi!!

acha udumavu wa akili
Wewe mwenyewe unadumazwa na serikali.
 
ni jamii moja ya kijinga sana hapa duniani. ukikutana nao ulaya, wamejitangaza na wanakana kwamba wao sio waafrika, wanasema wao ni wasomali. ukiwauliza wewe ni muafrica? wanasema hapana, mimi ni msomali. kipindi cha ukoloni walidai kwa wakoloni na wao wawekewe maeneo yao special tofauti na wabantu. kulikuwa na uzunguni, uhindini (na uarabuni) na grade ya mwisho kabla ya wabantu ilikuwa ni wasomali, na waliomba kabisa waundiwe sheria itakayowatambulisha tofauti na wabantu. hata hivyo, wapo wengi tangu zamani hata kabla ya uhuru, ndio hao kina kinana na wengine.
 

Kinana kumbe ni msomali
 

 
Huko kenya Idadi ya wasomali imeanza kuwatisha wenyeji ambao wamekua wakiwapokea kama wakimbizi

Ingawa kuna wasomali wakenya katika baadhi ya maeneo ambao walikuepo tangu uhuru lakini ongezeko la wasomali ambao wameingia Kenya wakikimbia Njaa, Vita na Ukame imezidi kuongezeka kiasi cha kuwatisha wenyeji.



Wakenya wanahofu watapoteza utambulisho wao kutoka nchi ya Kiafrica (bantu na nilotic) hadi kua nchi ya kisomali


This is from Kenya point of view
 

Na isingekuwa vita Somalia ingekuwa mbali sana
 

Pambana na ulofa wako mbuzi wewe, hata kula ya ni tia maji, halafu unaota kufukuza mabosi wako wanakupatia kula yako na pia ya wabongo wengi tu humu JF
 
Roho mbaya, chuki, ubaguzi na uwoga ndivyo vinakutesa ndugu. Kama unaujua vizuri wimbo wa Taifa uimbe kwa makini taratibu huku ukiutafakari nahakika maradhi yako yatapona.
 
V

Vita Imeletwa na nani?

Kama ulikuwa huelewi, mali zao Wasomali ndio zinawafanya wawe vitani.

Ulitaka wawawachie tu Wamarekani wajikombee kama tulivyowawachia sisi migodi?

Wasomali wana mali gani labda???
ubinafsi ukabila na roho mbaya ndio inayofanya wawe vitani
Kama hujui tabia za wasomali kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…