hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani.
Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha kwa Tanzania kama nchi ili kukabiliana na msongamano wa watu ndani ya nchi yetu. Sio dhambi wahusika wakuu wa nchi wakaenda china kujifunza namna gani nchi yao inajiendesha pamoja na wingi wa watu walio nao ili nasi kama taifa tukaiga Yale mazuri yanayoweza tufaa tukakabiliana vizuri na ongezeko la watu ndani ya nchi.
Tunaweza kwenda kujifunza mambo mbali mbali hasa katika nyanja kuu tatu muhimu nazo ni:
1. Elimu: tujue wenzetu wao Kwa idadi ya wingi wa watu walio nao wanawezaje kutoa elimu Bora na yenye tija Kwa wananchi wake.
2. Afya: tujue na tufahamu wana kabiliana vipi na mapambano ya huduma Bora Kwa wagonjwa bila kuzidiwa na idadi ya watu na madawa hospitalini mwao.
3. Miundombinu: tujue ni Kwa namna gani wana pangilia miundombinu yao kwenye ubora wenye kuwezesha watu kufika kila eneo na kupata huduma muhimu zaki dharura zihitajikapo Kwa mwananchi mathalani majanga ya moto n.k
4. Teknolojia: tupate kujua ni Kwa namna gani Kwa wingi wao bado wanawezaje kutoa huduma Bora ya kiteknolojia kwenye kila nyanja bila kuathiri shughuli za mwananchi katika uzalishaji wake wa kila siku iwe kazini au nyumbani.
Vizuri kufika na kujifunza huko china ili tuone nasi Kwa kadili idadi ya watu itakavyo kuwa inaongezeka nchini kwetu tuwe na mikakati Bora ya kutuwezesha kuwa Bora huko siku za mbeleni Kwa miaka 10 mpaka 25.

Upvote
0