Ongezeko la watu kuhuhudhuria marathons imechochewa na nini?

90% umalaya 5% kufuata mkumbo ,na 5% ni wapenda mbio na mazoezi
 
Mashirika binafsi na ya kiserikali yamejiingiza huko. Wafanyakaz wanapenda kushiriki mana kuna perdiem za kutosha huko
 
Sio kutoka mkoa mmoja tu kwenda mwingine ,kuna watu wanatoka nchi jirani za Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi,nina uhakika wewe sio mkimbiaji,ukiwa mkimbiaji na ukishiriki Marathon utajua kwanini watu wanaongezeka kila kukicha,hata hivyo Tanzania tumechelewa sana...
 

"NGONO"
 
Magonjwa yasiyoambukizika yamekuwa mengi,mazoezi ni moja ya kinga..na huwezi kufanya mazoezi serious ukiwa peke yako
Maneno haya yatasemwa na watu wasiokuwa na moyo wa hayo mazoezi,ila kama mtu kweli ana nia ya kufanya mazoezi lazima atafanya tu.
 
Watu wanaenda kama vacation tu na kungonoka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…