Ongezeko la watu kunuka mdomo

tunatembea marehemu, wala sio kosa lao. hata usugue vp nusu saa kubwa wanaanza kunuka viumbe hai mfu. Wote wanaonuka vikwapa, midomo....wote wameshaoza ila wanajifariji tu kwa kutumia vilainishi kupunguza harufu hizo. Tunatembea marehemu....tuvumiliane kizazi hiki
 
Mimi kuna mdada namjua ni mrembo haswaa pia ni rafiki yangu ana tatizo la ugonjwa wa mba kwenye ngozi na kinywa kutoa harafu mbaya.

Hii ya mba nilimshauri akanunue dawa yake akasema alishatumia dawa mbali mbali lakini haponi nikamwambia ngoja nitakuletea dawa naikaenda kuitafuta dawa fulani hivi ya maji nikamletea sasa hivi mambo yanaenda vizuri!!

sasa tatizo ni hapa kwenye kinywa sijui hata nimuanze vipi kumwambia, naona ugumu sana kumwambia cha kufanya!!!
 
Kwa hio mzee unanyonya denda??
 
Nikurekebishe, mtu huwa hawezi kunusa harufu yake toka mdomoni! Lazima asaidiwe kuambiwa pamoja na kuwa ukimwambia mtu mnakosana.
 
Kweli hii kitu inashika kasi sana siku hizi sijui tatizo nini...ngoja wataalamu watuambie
 
Kwani kuna watu hula mavi.?
 
Duh.! Kwa hiyo hata humu jukwaani wamejaa marehemu?
Maana kuna midomo huwa inatoa harufu humu
 
Muambie indirect kuhusu kunuka mdomo,mwambie kama stori tu kua;

"Kuna rafiki yako alikua na tatizo la kunuka mdomo ila akatumia dawa fulani tatizo lake likaisha!"

Hapo lazima atakuuliza; "alitumia dawa ya aina gani?"
Nawe hapo ndipo utakapo anza kufunguka.
 
Hivi walivyoondoa sayansi kimu shuleni walipeleka somo gani?
 
Kuna vyakula hua sili kuhofia hili swala. Mfano wale pweza wa barabarani au karanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…