Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

Hii inaenda sambamba na matumizi ya dawa. Uuzaji wa dawa kama biashara tena inayolipa ni changamoto. Siku zote mfanyabiashara anataka auze zaidi kupata faida kubwa.
Kweli mkuu. Na dawa nyingi huharibika ktk hayo maduka hata kabla ya expiry date kwasabb ya poor storage.

Na FREMU nyingi zinaruhusu mwanga na joto jingi kuingia ndani ya duka. Mwanga na joto hubadilisha chemistry ya madawa mengi sana. By the time unaenda kununua ishaheuka kuwa sumu.

Kama unaweza kujisikilizia hata kwa siku 3 na ukapona kwa jitihada za Kinga ya mwili peke yake ni bema zaidi kuliko kununua dawa toka hivi viduka vya mitaani.

N.B. Mbali ya ukungwi pia mm ni mfamasia.
 
Hivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni.

NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
Pombe effects , endeleeni kushindana kuchafua meza tu , kuna watu wamegeuza pombe kama chakula au maji ya kunywa ,tena pombe kali na wanachanganya
 
Hii inaenda sambamba na matumizi ya dawa. Uuzaji wa dawa kama biashara tena inayolipa ni changamoto. Siku zote mfanyabiashara anataka auze zaidi kupata faida kubwa.
Dawa kwa wingi zinawiana na figo kuharibika na mahitaji ya machine za kusafisha damu.
Dawa unayotaja na inayotumika na wengi ni pombe. Epukeni pombe mtapunguza mahitaji ya dialysis
 
Unakuta mtu lofa mwenzangu na mimi
Na Ana tatizo la Figo, kifedha hata 100
Watu wengi waangalie wamevimba mashavu wamevimba miguu wao wanajiona sawa tu
Any serikali yenyewe haijali,wao macho yao yote kwa Prof jizo

Ova
 
Hivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni.
**Usikute watu wanalishwa sumu makusudi, ili wahuni wapige hela
NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
Ongezeko la idadi ya watu katika hiyo moji ikoje ili tujue kinachoendelea,
 
Ukiona hivyo ujue tatizo limekuwa kubwa, wagonjwa wamekuwa wengi.

Kwa sasa magonjwa yanayosababishwa na mtindo mbovu wa maisha yametake over.
 
Hivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni.
**Usikute watu wanalishwa sumu makusudi, ili wahuni wapige hela
NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
Hakuna wa kumlisha mtu sumu, mfumo wetu mbovu. Unakuta mtu anashindia bia badala ya maji, anakula nyama nyama badala ya veggie
 
Binadamu kila utakachofanya ninkosa.

Vituo vya dialysis vingekuwa vichache watu mngelalamika.
Vimekuwa vingi napo mnalalamika.

Laiti ukielewa maana ya huduma za kijamii sidhani kama siku nyingine utaleta hoja kama hii.
 
Tunataka mfanye juhudi mfike sehemu dialysis haitakiwi. Hata hivyo dialysis siyo tiba ni utumwa. Tiba ni kidney replacement. Waelekeze wanaokuzunguka wapunguze pombe na vitu vingine vyenye kuharibu figo. Kuna mdau hapo juu amekumbushia Dr. Janabi ameongea haya mambo mpaka wengine mnafikia kumkejeli. Mara mnasema ngozi yake Haina nuru etc. haya endeleeni
 
Well said but kwa mifumo ya maisha ya sisi wabongo unahisi ni wangapi wanaweza kuyaepuka magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama hayo ya figo.

Dialysis unit zitakuwepo na zitaendelea kuwa katika uhitaji mkubwa.

Nchi imeamua kuwekeza katika kuhakikisha bima inapatikana kwa kila mwananchi ili mtu akiumwa asipaye tabu ya matibabu maana bima si ipo.

Kwa kasi hiyo watu hawatakuwa wachunga wa afya zao na hapo ndipo vituo vya afya vitakuwa vingi kuliko mashule.
 
Sijakuelewa mkuu.... Hii bima mnayozungumzia inabidi watoe watu 100 waugue 2... Wakiugua 40 kati ya mia hamtapata huduma yoyote... Hiyo ndio principle ya bima zote hata za magari. Magari 1000 yanakatiwa insurance 2 ndio yanapata ajali ndio bima inaweza kujiendesha
 
Pombe effects , endeleeni kushindana kuchafua meza tu , kuna watu wamegeuza pombe kama chakula au maji ya kunywa ,tena pombe kali na wanachanganya
Binafsi nimeamua kuachana na tungi baada ya kuanza kuona dalili hatarishi miguu kuwaka moto, kukojoa ovyo usiku, moyo kuuma, maumivu maeno ya figo, pressure kuanza kupanda....!!! Toka nimestop kutumia naona hz dalili zianza kupotea !!!

Najua kuacha ni ngumu ila nmeamua kupambana nisuguse kitu kinaitwa pombe tena
 
Back
Top Bottom