Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni Wizara ya Afya Tanzania

**Usikute watu wanalishwa sumu kupitia dawa na pombe feki makusudi, ili wahuni wapige hela kimasihara.

NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
 
Hivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni.

NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
Ongezeko nadhani ni kusogeza huduma zaidi kwa wananchi, mahitaji ni makubwa yanayopelekea ongezeko
 
Muwe makini na biashara ktk tiba. Madaktari waliopo hospitali za umma ndiyo hao hao wanaofanya kazi kama part-time huko kwenye hospitali binafsi ama hivyo vituo vya dialysis.

Unaweza kuwa kwenye stage ambayo inaweza kushughulikiwa kwa kupewa dawa lkn ukaambiwa kafanye dialysis ili tu wapate kazi ya kufanya huko kwenye vituo.

Wakati kiuhalisia dialysis ni last resort.

Huko nyuma kulizuka mtindo wa kila mgonjwa akienda hospitali binafsi anaandikiwa akapimwe typhoid .Dak 5 unaletewa majibu kuwa una typhoid. Wakati vipimo vya typhoid vinahitaji kifanyiwa culturing. Kumbe ilikuwa ni biashara.

Sasa hivi kuna wimbi la biashara kwenye UTI.

Nchi Ina laana hii.
 
Ongezeko nadhani ni kusogeza huduma zaidi kwa wananchi, mahitaji ni makubwa yanayopelekea ongezeko
Zamani ilibidi uache Kila kitu uje kupigania uhai Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿

My uncle alipambana miaka kumi ya kidney failure R.I.P

Na alikua hanywi pombe walimwengu wakazusha yatakua mapombe!!??
 
Muwe makini na biashara ktk tiba. Madaktari waliopo hospitali za umma ndiyo hao hao wanaofanya kazi kama part-time huko kwenye hospitali binafsi ama hivyo vituo vya dialysis.

Unaweza kuwa kwenye stage ambayo inaweza kushughulikiwa kwa kupewa dawa lkn ukaambiwa kafanye dialysis ili tu wapate kazi ya kufanya huko kwenye vituo.

Wakati kiuhalisia dialysis ni last resort.

Huko nyuma kulizuka mtindo wa kila mgonjwa akienda hospitali binafsi anaandikiwa akapimwe typhoid .Dak 5 unaletewa majibu kuwa una typhoid. Wakati vipimo vya typhoid vinahitaji kifanyiwa culturing. Kumbe ilikuwa ni biashara.

Sasa hivi kuna wimbi la biashara kwenye UTI.

Nchi Ina laana hii.
Hii inaenda sambamba na matumizi ya dawa. Uuzaji wa dawa kama biashara tena inayolipa ni changamoto. Siku zote mfanyabiashara anataka auze zaidi kupata faida kubwa.
Dawa kwa wingi zinawiana na figo kuharibika na mahitaji ya machine za kusafisha damu.
 
Back
Top Bottom