Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
***Naomba picha za maendeleo flyover Tazara
***
kwani ni flyover ?
Ni daraja la juu la magari...lisilozidi mita 150-200.
Ongeza kidogo basi
kha! mbona ukiiona sahivi inavyojengwa huwezi dhani kama itakuwa hivyo kweli dar yang'araIpo Makutano ya Sam Nujoma road na igesa road inayoenda Sinza makaburini kwenye petrol station ya Engine pale
IPO wapi hii
WHC IPO chini ya wizara IPI?
Umeongea point sana. Miundombinu hasa barabara ni changamoto kubwa sana. Mimi naona sasa ubunifu unahitajika kwenye swala la barabara hasa Dar es salaam.Project nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo