MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Utaona nini ukiwa nawe ni kipofu!!!hongera napenda nichakiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaona nini ukiwa nawe ni kipofu!!!hongera napenda nichakiona
Umeongea point sana. Miundombinu hasa barabara ni changamoto kubwa sana. Mimi naona sasa ubunifu unahitajika kwenye swala la barabara hasa Dar es salaam.
Wanakuambia ni Dhaifualafu anatokea mtu anamponda JK.....
Ni kobil na sio EngineIpo Makutano ya Sam Nujoma road na igesa road inayoenda Sinza makaburini kwenye petrol station ya Engine pale
Uko sawa. Ningependa kuona akibadilisha barabara za Dar tena kwa kiwango cha hadhi ya juu kabisa. Inawezekana ni kujipanga tu.Shida ipo hivi
Kila jambo linapelekwa kisiasa
Ikitokea serikali ina taka kupanua Hizo barabara
Unakuta kuna changamoto ya makazi ndani ya barabara,
Na inapo taka kubomoa wanakuja watu na kuanza kuingiza siasa za majitaka.
Ajabu haohao husifia zawengine.
Jambo lakushukuru nikuwa sasa tuna Rais ambae yeye hajali Maneno ya wanasiasa
Anafanya jambo walie leo kesho waishi wakicheka daima.
Tutegemee Jiji letu kubadilika ndani ya muda mfupi ujao
Mzizima tower ina tatizo kubwa sana la kimiundo mbinuProject nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo
ThubutuHopefully hayo yanaenda sambamba na ujengaji wa mifumo mipya ya maji taka.
najua lakini hii kampuni ni ya serikali na kama ni hivyo naomba kujua IPO chini ya wizara IPI?Watumishi Housing.
Nehemia yupo vizuriMkuu Annael NHC wanafanya kazi murua sana kwa sasa..
poa , naona kampuni haitaki ujinga, inapiga vitu vya ukweli na inaleta ushindani kwa NHC.Wizara ya Ofsi ya Rais Utumishi
Namkubali yule ndugu Nehemia.Ki ukweli amelizindua lile shirika na kuwa la kisasa na la kiushindani.Cha msingi aangalie lengo la msingi la NHC la kujenga na kupangisha makazi kwa bei nafuu.Nehemia yupo vizuri