Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Nilikuwa Kampala mwezi uliopita
Jamaa mmoja akaniambia unaona Jiji letu linavyo badilika?
Nikamuambia naona
Kwakuwa nilijua tutakuja nae Dar atajijibu mwenyewe!

Jamaa nilimtembeza kwa masaa 8 yuko hoi

Nikamueleza Dar yasasa siyo ya mchezo .
Annael endeleza Uzalendo
Maana watu walitudharau sana
Sasa niwakati wa kuheshimiana
 
Ipo Makutano ya Sam Nujoma road na igesa road inayoenda Sinza makaburini kwenye petrol station ya Engine pale
kha! mbona ukiiona sahivi inavyojengwa huwezi dhani kama itakuwa hivyo kweli dar yang'ara
 
Umeongea point sana. Miundombinu hasa barabara ni changamoto kubwa sana. Mimi naona sasa ubunifu unahitajika kwenye swala la barabara hasa Dar es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…