Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Umeongea point sana. Miundombinu hasa barabara ni changamoto kubwa sana. Mimi naona sasa ubunifu unahitajika kwenye swala la barabara hasa Dar es salaam.

Shida ipo hivi
Kila jambo linapelekwa kisiasa
Ikitokea serikali ina taka kupanua Hizo barabara
Unakuta kuna changamoto ya makazi ndani ya barabara,
Na inapo taka kubomoa wanakuja watu na kuanza kuingiza siasa za majitaka.
Ajabu haohao husifia zawengine.

Jambo lakushukuru nikuwa sasa tuna Rais ambae yeye hajali Maneno ya wanasiasa
Anafanya jambo walie leo kesho waishi wakicheka daima.

Tutegemee Jiji letu kubadilika ndani ya muda mfupi ujao
 
Uko sawa. Ningependa kuona akibadilisha barabara za Dar tena kwa kiwango cha hadhi ya juu kabisa. Inawezekana ni kujipanga tu.
 
Mzizima tower ina tatizo kubwa sana la kimiundo mbinu
 
Nehemia yupo vizuri
Namkubali yule ndugu Nehemia.Ki ukweli amelizindua lile shirika na kuwa la kisasa na la kiushindani.Cha msingi aangalie lengo la msingi la NHC la kujenga na kupangisha makazi kwa bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…