Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Unauhakika au unaongea tu? Hebu nenda ukaone maeneo yote hayo ujenzi unaendelea. Moroco Square inaisha mwaka huu 2017. Victoria Place nayo ipo mwishoni. Mwaka huu majengo mengi sana yatakuwa yameisha. Wewe tembelea maeneo hayo usisubiri maneno ya vijiweni. Halafu kulalamika lalamika kila wakati ni upuuzi.
 
Project nzuri sana na itakuza jiji haraka! Tatizo je kwa wakati huu wapo wa kuzijaza!!? Kama wageni wanaondoka na wafanya biashara wanafunga biashara haya si yanakuwa magofo!!?
Kuna k2 kimoja ukijue, Tanzania hatutegemei wageni hata!! Zimbabwe, Kenya na SA zmejengwa na Wageni ila nikisema Tanzania nazan unajua imejengwa na nani? [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

~Cmb
 
Mnataka kuendelea kufanya ubishororo hapa mjini,twendeni tukaitengeneza na Dodoma, mnapiga picha majengo ya hapa mjini tu,mbona hamuonyeshi na uchafu wa tandale?
 
hii miradi ni kwa dar tu, mnbona Mwanza, dodoma, arusha nk hakuna, wakati pale SA unakata miji yote mikubwa miundo mbinu na mirad mengn yote kila mji mkubwa
 
hii miradi ni kwa dar tu, mnbona Mwanza, dodoma, arusha nk hakuna, wakati pale SA unakata miji yote mikubwa miundo mbinu na mirad mengn yote kila mji mkubwa
Hii thread inahusu Dar. Soma Heading.
 
Barabara, mifumo ya maji safi, maji taka na drainage systems, parking spaces, street lights, pedestrian walkways, umeme wa uhakika, mipango Mimi ndio matatizo ya msingi. Maghorofa ya CBD watu wanayakimbia, ndio maana maeneo Kama Victoria, Masaki na Mwenge yana mvuto zaidi kibiashara kwa real estates kwa sasa
 
Reactions: MC7

Inaonesha hata Kawe hujawahi fika kuona
Wengine ndio njia yetu kila siku ujenzi unesimama
 
Inaonesha hata Kawe hujawahi fika kuona
Wengine ndio njia yetu kila siku ujenzi unesimama
Mbona unaongelea kawe. Ngoja jioni nikipita pale nipige picha nikuoneshe. Kawe 711 mradi unaendelea. Na ndio mradi uliokuwa umeanza pale. Labda upo na lingine tu ndugu. Check miradi ifuatayo ya NHC
1. Victoria Place upo mwishoni
2. Morocco Square
3. 711 Kawe
4. Golden Premier Residences
5. Mwongozo Beach Housing Estate
6. MCHIKICHI RESIDENTIAL APARTMENTS
7. Kigamboni Housing Estate
8. MINDU PLACE

Nakushauri uende ukaone hiyo miradi. Ipo miradi mingine itaanza mwaka huu 2017 chini ya NHC. Msipende kulaumu laumu tu bila hata kujua. Nimekupa baadhi tu ya Miradi iliyopo hapa dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…