Ongoing projects in Nairobi, Kenya E.A ( Counterpunch)

maaan avic is redifining westy, five scrappers at once!! damn,ila kwa ndugu zangu watz, ljumaa hii nipo mkonge hotel tanga nawakilisha masponsor toka kenya....tz hoyeeee
1483732007697.jpg
 
Hapa lazima wakae, wapi wale wazee wa "Nairobi ni flyovers tu" mbingunikwetu Cicero

Fuata nyayo uchane msamba, sisi tuko macho mida ya wanga....
Je mnataka tuingie kwenye thread yenu tuanze kuringanisha? Tumewaacha tu hapa na ujue kwenye ile thread ni projects ambazo zinafanyika dar pekee yake, na zile zinazoendelea. Kama vipi tulianzishe.
 
Tafadhali haturingi!!!! ...... manake unasema "Kuringanisha"..... Duh
 
Spelling "L" Lakini pamoja na hilo
Kuringa huwezi sema kuringanisha, utasema kuringisha.
 
Kenya mnatisha mpo vizuri sana, sisi huku raisi wetu anasema hata nyumba za wahanga wa tetemeko la ardhi serikali haiwezi kujenga. Huku kwetu raisi anasema kila mtu ale jasho lake, tuliahidiwa mji wa kigamboni kuwa kisasa zaidi lakini hadi leo wameishia kupima viwanja tu...
 
Waambie kaka..Waambie
 
Wewe sio mtanzania. Kiswahili chako tu kimeonesha.
 
Si hiyo ni kuathirika... Don't kill the messenger,, you can kill the message.... blah blah blah...
Nimekwambia unaongea uharo. Labda hujui uongealo. Kwanza haueleweki unachoongea labda uje na lugha tofauti.
Umeandika ushuzi.
 
Wewe sio mtanzania. Kiswahili chako tu kimeonesha.
hahahahaha Kiswahili sio changu, Kiswahili ni lugha yangu ya taifa. Endelea kuota kuwa ipo siku mtaipita Kenya kwa style ya uongozi mbovu mlionao. Mtaishia kununua bombadia za mabilion huku wanafunzi wa vyuo wanakosa mikopo na hospitali hazina madawa.
 
Nimekwambia unaongea uharo. Labda hujui uongealo. Kwanza haueleweki unachoongea labda uje na lugha tofauti.
Umeandika ushuzi.

Tehehehee.... Annael singing to my tune this evening. Welcome to povu. com.... Na leo povu yako iko na chumvi.... Tihahahhaaaaa
 
hahahahaha Kiswahili sio changu, Kiswahili ni lugha yangu ya taifa. Endelea kuota kuwa ipo siku mtaipita Kenya kwa style ya uongozi mbovu mlionao. Mtaishia kununua bombadia za mabilion huku wanafunzi wa vyuo wanakosa mikopo na hospitali hazina madawa.
Basi kama vipi nenda huko kenya. Kooma wewe!!
 
Tehehehee.... Annael singing to my tune this evening. Welcome to povu. com.... Na leo povu yako iko na chumvi.... Tihahahhaaaaa
Kwikwikwikwi. Yaani niimbe wimbo wako mimi? Hujui kwanini Mlilaaniwa na mkawa weusi kama mkaa?
 
Kenya mnatisha mpo vizuri sana, sisi huku raisi wetu anasema hata nyumba za wahanga wa tetemeko la ardhi serikali haiwezi kujenga. Huku kwetu raisi anasema kila mtu ale jasho lake, tuliahidiwa mji wa kigamboni kuwa kisasa zaidi lakini hadi leo wameishia kupima viwanja tu...
KE GDP $69 billion , TZ GDP $33 billion . Kupambanisha Kenya na Tanzania ni sawa na heavyweight kuingia ulingoni na featherweight.
 
Kwikwikwikwi. Yaani niimbe wimbo wako mimi? Hujui kwanini Mlilaaniwa na mkawa weusi kama mkaa?
Mwenye aliwalaani mkawa Mnakula Albino alirusha kifungu Bahari ya hindi
 
Back
Top Bottom