Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Weka refences. Usitufanye wajinga sisi. Unadhani hatujui?KE GDP $69 billion , TZ GDP $33 billion . Kupambanisha Kenya na Tanzania ni sawa na heavyweight kuingia ulingoni na featherweight.
GDP ya tanzania ni $50b
Halafu ya Nigeria $260b
Kenya ndio $69b
Ethiopia $70b
Sasa hizo $33b umezitoa wapi?
Isitoshe bado ripoti ya mwaka 2016 haijatoka utakuta Tz imepiga hatua kubwa maana inakuwa kwa 7.2% maana yake uchumi itafika kwenye GDP $55b