ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Kuua albino ni ujinga wetu Afrika yote, si Tanzania tu. Labda Tanzania wanalikemea ndo mana limesikika, na lililo kuu hapa ni kwamba waliwalea wakakua, ukubwani kwa mila potofu wakageuzwa dili.... TAKATIFU.... AAAW MY GOD. GOD WILL NEVER FORGIVE YOU FOR KILLING FELLOW HUMAN BEINGS LET ALONE FOR SAYING TAKATIFU. THAT IS BLASPHEMY AND GOD WILL PUNISH YOU FOR PRETENDING THAT YOU ARE HOLY YET YOU ARE A DARK NATION.
Ila hii ni kwa bana ba Africa wote, nikuulize swali mkuu... Hivi ulishawahi kumuona albino mmasai? Tz mi sijawahi kumuona, labda Kenya. Sijui umeelewa hapo, au ulidhani huwa wanazaliwa kwa jamii fulani tu?
Ni tabia ya kinyama, haivumiliki hata kidogo. Ila kuipinga kuwa haipo ni unafiki mkubwa na ni dhambi pia. Iko kote Afrika. Refer ktk songs of Lawino, Nigeria hiyo.