Ongoing projects in Nairobi, Kenya E.A ( Counterpunch)

Kwikwikwikwi. Wasichana wa kenya wanafanana na kaka zao. Tell these people are men or women?
 
Kenyan deep black musician
 
Mbona ujinga tu!! Hii JF Imeanza kuboo sasa! Tutakuwa hapa kwa huu ujinga kila mara uzi unapofunguliwa?

nakubaliana na wewe. hapa ndio utajua nani ni nani! fuatilia hizo post utaona watu na miaka yao kadhaa wanapost utoto usio na kipimo.sana sana hawa bongolala wenzetu!! wakiona tu maji yanazidi unga kwa uzi upande wa kwao wanaanza utoto kupindukia!!! kuna watu hapa ata wanzishe uzi mtamu kiaje siwezi kuweka post yangu, ni vijitoto kiakili!!!
 
Annael na Depay tafadhali acheni arguments za kipumbavu. Stick to projects and facts. Not these silly side-shows.
 
Aiiii!!! Danganyika walikemee kweli. Ngoja ifike election year.. mmmh
Hapana! Zinakemewa ndo mana wengi tunazisikia. Usipozisikia, uwaua wangali wachanga na wala halijawa wazi, hivyo hata halijulikani kuwepo, halikemewi.
 
Miss Gikuyu toka kenya akinonesha maajabu
View attachment 455365
Frankly i think that there are some people here who are adults only by name. The threads are nauseating, started by juveniles and taken on by people who have no desire to progress their thought processes. But you gotta ask yourself, why does JF allow dlck measuring contests that add no value to anyone?
 
KE GDP $69 billion , TZ GDP $33 billion . Kupambanisha Kenya na Tanzania ni sawa na heavyweight kuingia ulingoni na featherweight.
Unadinywa ww fala hujui kitu unwchotype
 

I'm just thinking on how I can start to spoil this thread...
Depay girl,I know you don't like me be here...tell your colleagues that the BIG fimbo boy from tz is around the corner. i'm watching you from a close range distance...behave well.
 
Ni nini hizi sasa mnapost kwa thread wesee? Mnabore sasa.
Wakenya, acheni kuencourage the trolls and lets stick to posting the pictures. We surely, mustnt have to respond to every insult meted out at us by some of these Tanzanians. Ati the whole two (yaani 2) pages full of matusis and deformed faces, and not a single intended photos......we are better than his mehn!

Annael, komesha hizo manze. Sidhani kuna mkenya alifululiza kwenye lile thread yako kuweka upuzi hizi kama unavyofanya humu. Nafkiri dhamira ya nyuzi hizi ni kuonyesha jinsi miji hizi zetu zinavyoendelea kukua, na sikatai ni mashindani kati ya Tanzania na Kenya, but cant we just be a little sensible in this?
 
And how could anybody from Nairobi forget to icnclude this ongoing project here, one of the largest in Nairobi, the talk of the whole country? (Roll the drums please, somebody?)

The Nairobi Outtering Road!!!!!






And the construction is actually ongoing.......I was at the Fedha estate this weekend, and what can I say..........breathtaking!











 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…