peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mtanikumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiBongo ni website chache zana zinazofanya kazi vizuri, nyingi ni za kimagumashi.
Kama huduma ndio kwa mtindo huo basi watageuka Kama mwendokasi muda sio mrefu.Wasenge sana hawa, nimekata ticket juzi saa 6 usiku, nikalipa kwa tigopesa, kwangu hela ikakatwa, kule kwenye website yao ticket haionekani, ghafla mtandao ukawa haufunguki tena.
Kesho yake ambayo ni jana, naenda kule wanasema ticket sijakata, nawaonesha muamala uliofanyika, kale kadada kadirishani kanajibu easy tu, kaka yangu sina cha kukusaidia.. Namuuliza unakosaje kunisaidia na mimi mteja wenu, muamala huu mie napaswa nisafiri, anasema subiri huku pesa ionekane, huwezi kusafiri, nikatamane nikachape vibao, lakini utu uzima dawa.
TRC rekebisheni mambo ya kingese kama hayo atakuja kupigwa mtu vichwa hapo, halafu tunaenda kumalizana kwa jirani yenu central tu hapo.
Hujui ''wataalam'' wa nchi yako? Ni nini ambacho kimeshafanyika Tanzania kikawa sawa?View attachment 3054510View attachment 3054511
Habari wadau. Kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwenye ukataji wa ticket online. Suala hili limekuwa lianenda kimya kimya bila kutolewa ufafanuzi. Sifahamu hili linatokea by coincidence au limepangwa. Kama train imekaa ni kwann mfumo hasemi kwamba train imejaa kama ilivyomifumo mingine ya ukataji ticket? Limebakia suala la Sisi abiria kujipa majibu wenyewe kwamba huenda train imejaa ndo maana mfumo inasumbua.
Tunaomba uongozi wanifanyie kazi hili suala Kwa haraka na weledi ili raia tuweze pata huduma stahiki.
Ndiyo Bongo hiyo sasa. Utakuta huko kwenye shirika kuna mjinga mmoja amempa mkwe wake tender ya kutengengeza hiyo system na malipo ni fedha nyingi kweli kweli.Kuna siku nimejaribu kukata tiketi nikaona mfumo haueleweki mara haufunguki nikajua ni tatizo la siku moja.
nikaja kujaribu tena ukafunguka ila umekaa kijinga kweli kweli mpaka nikawaza nani kawatengenezea? yaan uko hovyo wanazidiwa hata na shabiby na BM coach😂😂😂😂
Kama wamiliki wa mabasi ndo 'wanashughurika' na tiketi za online, basi hili litakuwa tatizo la milele.View attachment 3054510View attachment 3054511
Habari wadau. Kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwenye ukataji wa ticket online. Suala hili limekuwa lianenda kimya kimya bila kutolewa ufafanuzi. Sifahamu hili linatokea by coincidence au limepangwa. Kama train imekaa ni kwann mfumo hasemi kwamba train imejaa kama ilivyomifumo mingine ya ukataji ticket? Limebakia suala la Sisi abiria kujipa majibu wenyewe kwamba huenda train imejaa ndo maana mfumo inasumbua.
Tunaomba uongozi wanifanyie kazi hili suala Kwa haraka na weledi ili raia tuweze pata huduma stahiki.
Sema tena na tena. Ni matokeo ya kuwapa ''wataalam'' wa IT wa kibongo kutengeneza.Bongo ni website chache zana zinazofanya kazi vizuri, nyingi ni za kimagumashi.
ISIJE IKAWA WAJANJA HUINGILIA MFUMO KUKOMBA MAJIFWEDHA 😁Bongo nyoso