KERO Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?

KERO Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Website kama za halmashauri za wilaya cjui maafisa teams wa halmashauri waliajiriwa ili kufanya kazi gani ? Website ziko domant kabisa.
Mimi kuna chuo nilisoma sasa nikafanya application moja nje ya nji na hiyo taasisi ilikuwa inataka ku verify matokeo yangu kwenye chuo changu sasa, chakushangaza website ya chuo kwenye email yao iko dormant. Naulizwa hiyo email yako hapo chuoni iko alive nasema ndio, nikipiga sim chuoni naambiwa hakuna ujumbe.

Nikaja kugundua hapo chuoni email yao iliyoko kwenye website yao iko down hakuna response mtu akiitumia hiyo. Ikabidi nitumie email ya mwalimu mmoja kwa mbadala wa chuo kwenye nilichokuwa nahitaji.

Lakini chuo hicho kilikuwa na faculty ya information technology. Sasa swali langu lilikuwa mkuu wa hiyo idara kazi yake pale chuoni ilikuwa ni kufundisha tuu hakuna kingine

Na idara kama hii kama haiwezi fanya update ndogo katika jambo kama hili je tutarajie hiyo generation inayofundishwa hapo itakuwa ya namna gani?
 
Kwa ufupi ni kwmaba ukiendabmituoni hizo siti amabzo ziko weak inamana trenu imrjaa.mfano Leo Niko Dodoma ni kweli treni ya sgr kened adra jwa jpili zimejaa
Andika vizuri wewe
 
Tatizo bado ni kubwa . Leo tangu saa 7 mchana napata shida kununua ticket, nafasi zinaonekana zipo ila nikikaribia hatua ya kukamilisha process nipate bill kulipia mtandao unakwama hapo.(kimviringo cha njano kinabaki kinazunguka bila kikomo). Ina maana leo tickets hawauzi kwenye mtandao? Na ipi ni njia mbadala linapotokea tatizo kama hili? Lazima tuanze kuwa serious kama tunataka hii reli itoe huduma kwa wananchi kwa ufanisi. Haiwezekani tatizo la mtandao litumie zaidi ya masaa 5. Tunaanza uswahili wetu kwenye serious business?
 
Tutalishughulikia...kuwa na amani na asante kwa maoni yako
Ofisi ya SGR
Tanzania
Hivi inaingia akilini kwamba kwa nchi iliyojaa vijana wazuri kwenye IT mnashindwaje kukata tiketi online wakati wenye mabus wameweza?
 
Narudisha tena uzi huu, hivi kweli hawa TRC wako serious kweli? online booking toka jana haifanyi kazi kweli wana watu wanafuatulia hii issue muhimu katika shirika? Hili shirika lina viongozi kweli au busy kupiga picha tu. Au ni hujuma hizi, wanawezaje kushindwa kuona shida iko wapi? Serikali wajibisheni hawa watu hili shirika la nchi lakini leo 2024 hatuna uwezo wa kumonitor online perfomance 20Hrs. Shame kwako mkurugenzi wa TRC natamani upite tu hapa usome au utumiwe. Mnakera sana kwa kweli.
 
Ninachangamoto ya kukata ticket online unaenda hadi kwenye kuchagua ticket kwenye kusubmit ili upate control number inazunguka tu as if hakuna network hata nikijaribu kwa routes za muda tofauti bado inagoma. Hii ni mara ya tatu ninapata changamoto hiyo. Ninashauri TRC waweke vituo vya kukata ticketi mjini na maeneo ya karibu imagine nitoke hapa Morogoro mjini hadi nikakate ticket kule nje ya mji. Au upo Chamwino Dodoma uende kukata ticket ya kusafiri Mkonze
 
Ninachangamoto ya kukata ticket online unaenda hadi kwenye kuchagua ticket kwenye kusubmit ili upate control number inazunguka tu as if hakuna network hata nikijaribu kwa routes za muda tofauti bado inagoma. Hii ni mara ya tatu ninapata changamoto hiyo. Ninashauri TRC waweke vituo vya kukata ticketi mjini na maeneo ya karibu imagine nitoke hapa Morogoro mjini hadi nikakate ticket kule nje ya mji. Au upo Chamwino Dodoma uende kukata ticket ya kusafiri Mkonze
sijui hawa jamaa watajirekebisha lini,hili jambo mara kwa mara hutokea
 
Back
Top Bottom