maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Hivi wataalamu wa tehama waliopo halmashauri wakienda asubuhi kazini huwa wanajishughulisha na nini mpaka jioni?Sema tena na tena. Ni matokeo ya kuwapa ''wataalam'' wa IT wa kibongo kutengeneza.
Mimi kuna chuo nilisoma sasa nikafanya application moja nje ya nji na hiyo taasisi ilikuwa inataka ku verify matokeo yangu kwenye chuo changu sasa, chakushangaza website ya chuo kwenye email yao iko dormant. Naulizwa hiyo email yako hapo chuoni iko alive nasema ndio, nikipiga sim chuoni naambiwa hakuna ujumbe.Website kama za halmashauri za wilaya cjui maafisa teams wa halmashauri waliajiriwa ili kufanya kazi gani ? Website ziko domant kabisa.
Kupuliza vumbi kwenye CPU na kuinstall printer.Hivi wataalamu wa tehama waliopo halmashauri wakienda asubuhi kazini huwa wanajishughulisha na nini mpaka jioni?
Andika vizuri weweKwa ufupi ni kwmaba ukiendabmituoni hizo siti amabzo ziko weak inamana trenu imrjaa.mfano Leo Niko Dodoma ni kweli treni ya sgr kened adra jwa jpili zimejaa
Hivi inaingia akilini kwamba kwa nchi iliyojaa vijana wazuri kwenye IT mnashindwaje kukata tiketi online wakati wenye mabus wameweza?Tutalishughulikia...kuwa na amani na asante kwa maoni yako
Ofisi ya SGR
Tanzania
hahaha...... abuse ya teknolojia na jibu hilo linathibisha tatizo. Namna hii tutufika tumechoka. Any way, hatimaye nimefanikiwa.Fika Ofisini Ukate Tickets
sijui hawa jamaa watajirekebisha lini,hili jambo mara kwa mara hutokeaNinachangamoto ya kukata ticket online unaenda hadi kwenye kuchagua ticket kwenye kusubmit ili upate control number inazunguka tu as if hakuna network hata nikijaribu kwa routes za muda tofauti bado inagoma. Hii ni mara ya tatu ninapata changamoto hiyo. Ninashauri TRC waweke vituo vya kukata ticketi mjini na maeneo ya karibu imagine nitoke hapa Morogoro mjini hadi nikakate ticket kule nje ya mji. Au upo Chamwino Dodoma uende kukata ticket ya kusafiri Mkonze