ONLINE ENGLISH COURSE.

ONLINE ENGLISH COURSE.

Mafunzo ni WhatsApp pekee,hatuna darasa jingine.Hatuna eneo wala mahala pa kufundishia.Unapokuja WhatsApp hakikisha kulitambua hili.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Majibu ya zoezi:

Tafsiri sentensi hizi kwenda kiingereza.

1. Juma alipika. Juma cooked.

2. Maria alicheza. Maria played.

3. Juma aliimba. Juma sang.

4.Nilikula. I ate.

5. Nilisali. I prayed.

Tafsiri sentensi hizi kwenda kiswahili.

1. Did I..... Je, nili...

2. Did my friend..... Je, rafiki yangu ali....

3. Did you ...... Je, wewe uli.... / Je, ninyi mli....

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Did ikikaa katikati mwa sentens maanake inasisitiza....

Did ikianza mwanzoni mwa sentensi inauliza na ni wakati uliopita

Yaaani didi/li

Alipita,alikula,alicheza

Neno Did lianzapo kwa sentence

Did we eat?je,tulikula?

Did they come?je,walikuja?

Did ikiwa katikati mwa sentensi huonyesha

Msisitizo mfano

Juma and Agy did eat?/Juma na Agy walikulaaaaaaaa(hiyo utaonyesha msisitizo kwa kiswahili)

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Zoezi

Badili sentensi hi kwenda kingereza

Mama akapika.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Habari wapendwa!unaweza anza masomo nasi tena mwezi wa pili.Kwasasa darasa limegungwa kwa wageni,ili kuondoa usumbufu na kuanza course mwanzo wa mwezi.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Tumeanza masomo kwa darasa la mwezi wa pili unaweza kuanza kulipia sasa.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Tujikumbushe maumbo tofauti ;

Umbo mama.... Infinitive form

Go.... Enda

Sing .... Imba

Talk.... Ongea

Umbo LA wakati uliopita... ( past tense form)

Went.... lienda

Sang .... liimba

Talked ..... liongea

Umbo LA wakati timilifu

Gone.... meenda

Sung.... meimba

Talked .... meongea

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
[emoji115] kwa nini tunaandika maneno hivi: -likula / -mekula nk badala ya 'alikula / amekula?

Kwa sababu hatujaonyeshwa ni nani alikula au amekula. Na huenda ikawa alikula/ tulikula/ walikula/ kilikula nk. Sasa maana hatujaambiwa ni nani, inabidi tuanzishe na - (kuwakilisha huyo aliyetenda ambaye hatujui ni nani) kisha tunaweka hiyo 'li' au 'me' kisha kitendo.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Teacher can i ask a question please,im not well in english grammar and tenses but somehow i know this and that

Juma alipika according to you,it wll be juma cooked
Also,Juma alipika If i say juma was cook!!! Is it right?
Juma aliimba....juma sang
Juma alimba.... Juma was sing is it right?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa.Ila ni katika tenses nyingine.Tukiongelea "simple past tenses" ni jambo lililofanyika na likaishia papopapo halikuendelea.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Ukiweka "auxiliary verb,was,were maanake jambo halikumalizika kwa wakati ule ule,mfano alikuwa akipika ......maanake haijaonyesha ni mda gani alimaliza kupika.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Vitendo ( verbs) vipo vya maumbo tofauti, kama vile tulivyoona go/ went/ gone/ going/ goes nk.

Ila hapa tutaangalia yale maumbo matatu tuliyosema Jana , umbo mama ( infinitive form), umbo LA wakati uliopita ( past tense form) na umbo timilifu ( past participle form)

Watu wengi hufikiri past participle ni wakati ( tense ) ila sio mbali ni mojawapo ya maumbo ya vitendo tu ,kama vile daladala ni mojawapo ya maumbo ya magari.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Back
Top Bottom