Ni kweli mkuu ndo maana hata hapo mwanzo nilisema "nimejiona fala".Kwa uandishi huu hicho chuo ulichopo ni cha vilaza wa 4G!!
Empty set kabisa!
Good boy!Ni kweli mkuu ndo maana hata hapo mwanzo nilisema "nimejiona fala".
Hiyo ilikuwa 2014, naamini tukukutana kwa sasa twaweza kubadilishana mawili matatu ya kimaendeleo.
Ubarikiwe sana.
asante sana chief,Sawa mkuu mchana mwema.
Ni heshima sana kupata mawazo yako Mr Miller.
We ni mmoja kati ya members famous sana humu.
I salute you..