Only for single ladies...

Only for single ladies...

Ni kweli mkuu ndo maana hata hapo mwanzo nilisema "nimejiona fala".

Hiyo ilikuwa 2014, naamini tukukutana kwa sasa twaweza kubadilishana mawili matatu ya kimaendeleo.

Ubarikiwe sana.
Good boy!
Ni wachache sana huwa wanakubali makosa yao na kujirekebisha in a positive way[emoji122] [emoji122]
Shukrani sana mkuu,ubarikiwe pia!
 
Ndy Maana waswahili hunena, ujingaa niwakati wakweenda tuu.....
[emoji404] Siwaona sasa, you real came up with good mindsets
 
Back
Top Bottom