Only genius can answer this : Ni muda gani ambao "Moderators wa JF huwa wamelala?"

Only genius can answer this : Ni muda gani ambao "Moderators wa JF huwa wamelala?"

Moderators wanaingia kwa shift kazini working 24/7 as a servers machine do.
Nadhani hili suala kwa watu IT Dept. mko familiar nalo.
 
Si kwamba mda wote hawa jamaa wapo macho kuangalia ni nani, na nini amepachika mda huo JF; isipokuwa hii App ipo monitored kwa kuondoa thread yoyote ya uchochezi ama neno lolote baya pasipo kuwepo operator.
 
Majibu yametoka mengi napenda kujua Nani genius.. Mods hamishia hii chit chat
 
Mtukane Painkiller uone atakupiga ban saa ngapi ndo ujue kwamba alikuwa amelala muda huo, alipoamka ndo akakupiga ban!
 
Si kwamba mda wote hawa jamaa wapo macho kuangalia ni nani, na nini amepachika mda huo JF; isipokuwa hii App ipo monitored kwa kuondoa thread yoyote ya uchochezi ama neno lolote baya pasipo kuwepo operator.
JF ni gazeti mtandao na si APP.. huko kwingine huenda ukawa sahihi.
 
Muda wote Moderators wapo Macho na wala moderators hawafi,hawalali wala hawasinzii
Ila wenye Cheo au Status ya Moderators huwa wanalala wanapohisi usingizi
 
Wako nchi tofauti tofauti ndomana hawalali muda wote wapo...
 
Mi niliwahi kupigwa ban saa tisa usiku ndo nikajua kuwa hawa jamaa hawalali!

Nadhani wako nchi mbalimbali kwenye time zones tofauti tofauti na hivyo kuonekana kuwa wako on 24/7. Kuna mmoja namfahamu yuko Australia.
 
Mikataba yao ya kazi ina maelezo yote.

Huenda ukiipewa ww ukalia baada ya kuisoma.
 
Mwingine yupo Porto Alegre Na mwingine yupo hapa jirani yangu Helsinki .
Mi niliwahi kupigwa ban saa tisa usiku ndo nikajua kuwa hawa jamaa hawalali!

Nadhani wako nchi mbalimbali kwenye time zones tofauti tofauti na hivyo kuonekana kuwa wako on 24/7. Kuna mmoja namfahamu yuko Australia.
 
huwa wanalala bhana,ila huwa wanaacha account ziko logged in na kuonekana wapo activeeee.kumbeeee hat mchana wanalaal teh
 
Back
Top Bottom