bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
Moderators wanaingia kwa shift kazini working 24/7 as a servers machine do.
Nadhani hili suala kwa watu IT Dept. mko familiar nalo.
Nadhani hili suala kwa watu IT Dept. mko familiar nalo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF ni gazeti mtandao na si APP.. huko kwingine huenda ukawa sahihi.Si kwamba mda wote hawa jamaa wapo macho kuangalia ni nani, na nini amepachika mda huo JF; isipokuwa hii App ipo monitored kwa kuondoa thread yoyote ya uchochezi ama neno lolote baya pasipo kuwepo operator.
Wanapokezana kuwa online ,Atakayejibu
Atakuwa ni genious[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38]
Mi niliwahi kupigwa ban saa tisa usiku ndo nikajua kuwa hawa jamaa hawalali!
Nadhani wako nchi mbalimbali kwenye time zones tofauti tofauti na hivyo kuonekana kuwa wako on 24/7. Kuna mmoja namfahamu yuko Australia.