bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
JF ni gazeti mtandao na si APP.. huko kwingine huenda ukawa sahihi.Si kwamba mda wote hawa jamaa wapo macho kuangalia ni nani, na nini amepachika mda huo JF; isipokuwa hii App ipo monitored kwa kuondoa thread yoyote ya uchochezi ama neno lolote baya pasipo kuwepo operator.
Wanapokezana kuwa online ,Atakayejibu
Atakuwa ni genious[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38]
Mi niliwahi kupigwa ban saa tisa usiku ndo nikajua kuwa hawa jamaa hawalali!
Nadhani wako nchi mbalimbali kwenye time zones tofauti tofauti na hivyo kuonekana kuwa wako on 24/7. Kuna mmoja namfahamu yuko Australia.